Wachunguzi wa UN wamesema ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Libya, ikiwemo uhalifu dhidi ya ubinadamu na uvunjaji sheria kiholela unazuia mchakato wa mpito wa nchi hiyo kuelekea...
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu amesema hataomba radhi baada ya kutamka hivi karibuni kwamba rais wa Russia Vladimir Putin “hawezi kusalia madarakani”, akisisitiza kwamba “alionyesha hasira ya...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema waasi wameiangusha helikopta ya Umoja wa Mataifa mashariki mwa nchi hiyo.
Takriban watu wanane walikuwa kwenye ndege hiyo iliyodunguliwa...
Watu watano wameuawa Jumanne katika shambulio la risasi katika mji wa Israel wa Bnei Brak, kitongoji cha mji wa Tel Aviv.
Ni shambulizi baya la tatu katika siku za karibuni.
Siku mbili...
Wakati Urusi inaivamia Ukrain, watu wengi walijua Urus inaenda kuiteka Ukrain ndani ya siku chache, lakini mambo ni tofauti. Pia, Putin alikuwa anasema anaenda kuuondoa uongozi wa Ukrain wa...
Kiongozi wa majadiliano ya usuluhishi wa Ukraine amesema mazungumzo ya leo pale Instanbul Uturuki yamekwenda vizuri na kuna uwezekano mkubwa wa kuwakutanisha Marais Zelensky na mwenzake Putin hivi...
Kutokana na mataifa ya NATO na US kupeleka dhana za kivita Ukraine kwa ajili ya kupambana na mrusi, haitokuwa ajabu Urusi kwa ghafla na bila kutegemea, anaweza kutumia dhana zake za maangamizi...
Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa...
Mkurugenzi mpya wa shirika machachari sana dunia la Israel(MOSSAD), ameionya Iran kwamba mashambulizi zaidi ya kimtandao yatawajia.
New Mossad Chief David Barnea is threatening to launch more...
Image captionWaandamana kumpinga kabila
Maandamano ya upinzani yanafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupinga uamuzi wa mahakama ya kikatiba mapema mwezi huu kwamba rais Joseph kabila...
USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa...
Watu wenye silaha nchini Nigeria wameripotiwa kuwateka nyara idadi isiyojulikana ya abiria kutoka kwa treni katika jimbo la Kaduna kaskazini mwa nchi hiyo.
Genge hilo lilichimba njia kati ya mji...
Rais Joe Biden amesema Bungeni kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifikiri vibaya kuhusu hatua ambazo Mataifa ya Magharibi yangechukua alipoivamia Ukraine.
Amesema Vita ilipangwa bila...
Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea...
Ama kwa upande mwingine, wananchi wapatao 500,000 wa Ukraine wamerejea kutoka nje tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi.
Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa mpakani wa Ukraine Andriy Demchenko, wiki...
Ikiwa umepita mwezi mmoja tangu majeshi ya Russia kuvamia Ukraine uharibufu mkubwa umeonekana kuendelea kufanyika.
Kama Russia na majeshi yake yameshidwa kuyadhibiti majeshi ya Ukraine ni bora...
Kila siku naomba hivi vita viishe kwani watoto, wamama na wazee ndio wanaoangamia sana. Pamoja na hayo hivi Ukraine imeshindwa kabisa kurusha hata kombora Moja tu hapo Moscow Ili na huyu muuaji...
Here is what he just wrote in defense of his earlier 'misquoted' statement about the CSOs fund disbursement.
Note: The language shift is mine.
--
As the Minister in charge of Finance, I have a...
28 March 2022
SDE BOKER, Israel
Video courtesy of Al Jazeera
The talks centered on shared concerns, particularly over Iran, and on food shortages brought on by the war in Ukraine, which are...
Mbunge wa Ukraine ambaye ni naibu waziri wa elimu bi Inna Sovsum ameiponda ziara ya rais Biden wa Marekani aliyoifanya nchini Poland. Amesema hotuba zake za kuwataka wananchi ya Ukraine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.