USA supports Ukraine, USA condemns Russia's annexation, USA support the EU, USA support the Western world stop pussy footing around and appeasing Putin and a corrupt regime.!
"Putin is worth...
Marekani imeliwekea vikwazo jeshi la China kufuatia hatua zake za kununua ndege za jeshi kutoka Urusi pamoja na makombora ya kurushwa kutoka ardhini.
Inasema ununuzi kama huo unakiuka vikwazo vya...
Amani iwe nanyi wadau
Tanzania ikiwa inaendelea na uchaguzi mataifa wawili yalikuwa vitani(Armenia na Azerbaijan). Armenia ikiungwa mkono na Urusi kwa kuwa na watu wengi wanaozungumza kirusi...
Is this the beginning of the end for the Putin dictatorship? Whenever it will be.. It will be swift...
We pray for the continued safety of these brave people..
More than 47,000 people - double...
Wabunge wa Iraq wameshindwa kwa mara ya tatu kumchagua rais mpya wa nchi hiyo, kutokana na ukosefu wa idadi ya kutosha bungeni. Hatua hiyo imerefusha hali ya mkwamo wa kisiasa katika nchi hiyo...
Ndio taarifa za karibuni kabisa kwamba Rais Zelensky wa Ukraine ameafiki wazo la Russia la kuitaka nchi yake iwe Neutral.
Hata hivyo Zelensky amesema itabidi ifanyike kura ya maoni kwa wananchi...
Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano limepiga kura ya kumuondoa kwenye wadhifa wake waziri wa uchumi Jean Marie Kalumba, likimshtumu kwa mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu na uratibu...
Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine
Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula...
Kadri hali ya ukame inavyozidi kuwa mbaya nchini Somalia, Umoja wa Mataifa unasema tishio la baa la njaa linaloweza kusababisha vifo vya mamia ya maelfu ya watoto wenye umri wa chini ya miaka...
Mamlaka inayosimamia vyombo vya habari nchini Burundi Jumatano imetangaza kwamba imeondoa marufuku ya kuikataza radio BBC kupeperusha matangazo yake kote nchini, miaka mitatu baada ya radio hiyo...
Hassan Zhou
Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka...
Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama...
Vladimir Putin didn’t just invade the Ukraine on 24/02/2022, he officially ended the petrodollar system.
How? Remember, Russians don’t do anything without a plan. They & China have been prepping...
“Kutoka mtwana kuwa bwana, na kuondokana na umaskini na kuwa na maisha bora, ni mambo mazuri zaidi niliyopata maishani mwangu!” Bibi Shiangchiu Ram mwenye umri wa miaka 77 ni makzi wa kijiji cha...
Siasa ni kitu cha ajabu na kama ni bahati ya mtende bila kutegemea.
Hata putin historia inaonekana ni bahati ya mtende kufikia kuwa raisi ya Urusi.
Ila vita hii inaweza kuwa neema kwa tajiri...
EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community.
H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the...
Jeshi la Urusi,
Limethibitisha kwa njia ya video SHAMBULIZI lao huko Magharibi mwa lviv karibu na mpaka wa Poland ambalo shambulizi hilo lilipigwa kwa njia ya Rocket lililenga ghala la mafuta...
Mataifa hayo matatu yaliwatimua wafanyikazi wa kidiplomasia wa Urusi wiki iliyopita, ambayo Moscow inasema haikuwa hatua 'isiyo halali' Urusi imewatimua wanadiplomasia kumi kutoka Estonia, Latvia...
Mara nyingi ninapoangalia taarifa za habari za ndani na nje ya nchi, habari kubwa ni hii vita ya Ukraine na Urusi. Mpaka sasa raia takribani 1119 wameshafariki na wanajeshi 1351 wamepoteza maisha...
Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama.
Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.