International Forum

News and Stories from rest of the World
Vladimir Putin, the Russian president, is a highly successful individual who has accomplished a great deal in his life. Also, as a human being, he has his flaws and his virtues. As a result, here...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Hali inazidi kuwa tete na kuvuka mipaka ya nchi na nchi hadi bara na bara. Rais wa Marekani Joe Biden amemtangaza Rais Putin wa Russia kama Mhalifu wa Vita. Warusi wamekuja juu na kusema kauli...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Hizi nchi ni jirani lakini kwanini Ukraine hashambulii urusi kama kujibu mapigo au kurusha hata makombora huko Urusi au hata mizinga?Kwanini hawafanyi hivyo?
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Hatimaye. Rais Biden wa Marekani amewasili nchini Poland. Poland ndio imechukua zaidi ya nusu ya Wakimbizi waliokimbia vita ya Putin nchini Ukraine. Source: BBC
12 Reactions
192 Replies
10K Views
Siku zote nipo Upande wa amani, sipendi vita sifurahii umwagaji wa damu kwa viumbe walioumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Tukiachana na mikataba ya kilaghai Bogus treaty sioni sababu ya msingi ya...
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Kumbe Nchi za Magharibi walikubaliana na Urusi kuwa hawata utanua umaja wa kujihami wa nchi hizo,yaani NATO. Lakini kumbe kwa Hila zao za kutaka kuizunguka kijeshi Urusi wakaendelea kujiunga nchi...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza...
14 Reactions
94 Replies
6K Views
Katika uvamizi wa Russia unaoendela Ukraine ni kweli sehemu kubwa ya Ukraine itageuzwa magofu na mabomu ya Russia lakini hilo halikuwa lengo la Putin, tangazo la Putin la kuanzisha vita ilikuwa ku...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa...
16 Reactions
190 Replies
18K Views
Vita ya Russia dhidi ya Ukraine inawafurahisha na kuwatia moyo watu wenye chuki na Marekani. Nataka niwaambie, hata ukiichukia Marekani itaendelea kuwa taifa lenye nguvu za kiuchumi na kijeshi...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Moto anaopelekewa Urusi na Ukraine ndo umesababisha haya.
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A maternity ward and a children's ward have been destroyed in a Russian air strike on a hospital in the southern city of Mariupol, officials there say. "The destruction is colossal," the city...
3 Reactions
69 Replies
3K Views
Ukiona mpaka mwanaume, tena mwanajeshi aliye vitani anaamua kuyavua magwanda yake na kutupa silaha halafu anavaa wigi, gauni, na kujipaka wanja, lipstick [emoji168], halafu anavaa michuchumio ili...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa tete. Rais Biden wa USA amesema NATO itajibu Mapigo " in kind" endapo Putin atatumia silaha za sumu. Imedaiwa Rais Putin ana tabia ya kutimia silaha za kemikali hata...
7 Reactions
102 Replies
5K Views
Wakuu niaje? Naomba tusaidiane mawazo hapa, mara baada ya urusi kuingia Ukraine kwa kile walichoita 'special operation' nilitegemea urusi atapata upinzani mkali na wa moja kwa moja kutoka Nato au...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hali ya dunia kwasasa imekumbwa na machafuko kila Kona haswa vita,migogoro na machafuko mengine ya kisiasa,,,Mwenye jukumu la kusimamia amani ya dunia ni Umoja wa Mataifa ndicho chombo kilichopewa...
3 Reactions
16 Replies
732 Views
For decades, the US and its Western allies have been violently and frequently meddling in the Middle East. Beginning with the clandestine overthrow of democratically elected leaders, moving on to...
0 Reactions
4 Replies
585 Views
Korea Kaskazini yajaribu kombora kutoka bara moja hadi jingine Kim Jong Un ameshuhudia majaribio ya kombora kubwa la masafa marefu linaloweza kutoka bara moja hadi jingine, akiihakikishia nchi...
2 Reactions
11 Replies
790 Views
Back
Top Bottom