Rais Joe Biden wa Marekani amesema madikteta ambao hawawajibishwi kutokana na uchokozi wao ndio wanaosababisha machafuko zaidi na kuongeza kuwa uvamizi wa rais Vladimir Putin wa Urusi nchini...
July 4 1776 George Washington aliyaongoza makoloni 13 yaliyokuwa chini ya utawala wa ufalme wa Uingereza kujitangazia uhuru wake na baadaye kutengeneza serikali ya shirikisho iliyodumu kwa zaidi...
Raisi wa Serbia Aleksandar Vucic Jana usiku aliongoza maelfu ya wa Serbia katika KUMBUKIZI ya mauaji ya ndg na jamaa zao yaliyofanywa na NATO mwaka 1998.
Akihutubia Taifa Raisi wa Serbia alisema...
Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi...
Crown Prince wa Abu Dhabi ktk United Arab Emirates, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema kuwa anaamini kuwa Russia ina haki ya kuhakikisha usalama wa taifa hilo (Russia) hauhatarishwi. Maneno hayo...
Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine
Majaribio haya...
Kwa sababu saizi urusi anaondoa aibu ya kushindwa vita na ndio maana hapo ukraine anashambulia hovyo hovyo na akiamini walio sababisha yeye kusindwa vita ni mataifa ya ulaya.
na kwa jinsi putin...
Top 10 Nuclear Bombs
Everybody is aware how dangerous and fatal nuclear bombs are. They can also be called atom, atomic or A-bombs. This weapon is the most horrifying and once it’s fired you...
Kufuatia kupanda kwa gharama za nishati kama vile mafuta na bei za vyakula kumesababisha mfumuko mkubwa zaidi kuwahi kutokea nchini humu kwa takribani miongo mitatu kwani bei za watumiaji wa...
Mgogoro huu kati ya Ukraine na Urusi unaongoza kwa propaganda kuliko mgogoro wowote ule toka vita kuu ya pili ya Dunia.
Ukisikiliza propaganda za nchi za west unaweza kudhani Urusi imechukiwa na...
Kumekucha.
Rais Putin wa Russia ameongea na bunge la nchi yake kwa njia ya mtandao na kusema kuanzia sasa nchi yake haitapokea Dollars waka Euros kwa mauzo ya gesi yake Ulaya.
Fedha...
Nato imesema inapeleka vikosi vyake katika mpaka wa mashariki wa Jumuiya yao.
Vikosi hivyo vitatawanywa katika nchi za Bulgaria, Hungary, Romania na Slovakia.
Atajua kwanini mtoto akizaliwa ni...
Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi...
When Jenni Hannant’s boiler packed up, she tried the usual trick to get it going again: banging the pump, pressing the red button and expecting it to kick back in. When it still wouldn’t start...
China imeazimia kutotegema tena gesi asilia toka kwa mataifa pinzani, ambayo ni Marekani na Australia. Na badala yake inawekeza ktk project ya kujenga bomba jingine jipya la gesi toka Russia ili...
Proposed draft Ceasefire Agreement between Russia and Ukraine.
English Translation
Draft
The diplomatic representatives of Russia and Ukraine, through repeated mediation, repeated negotiations...
Baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine, Russia imewekewa vikwazo kadhaa na nchi mbali mbali zikiwemo US, UK na nchi kadhaa zinazounda Umoja wa Ulaya (EU). Ktk vikwazo vya hivi karibuni zaidi ni...
Kama nchi zingine za Ulaya zinaamini Putin ataishia Ukraine tu, wajue wanajidanganya, ipo siku atavamia nchi nyingine kwa kigezo cha usalama wa nchi yake hasa nchi zingine zinazopakana na Russia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.