Ndugu zangu ikiwa bado kuna mgogoro ukiendelea kufukuta nchini Ukraine, tumeshuhudia vikwazo na matamko mazito kutoka kwa NATO members na European union kwa Urusi. Ikiwa nato ataamua kwenda field...
Mahakama moja ya Urusi imemhukumu mkosoaji wa serikali ya Urusi Alexei Navalny kifungo cha miaka tisa jela, baada ya kumkuta na hatia ya ufujaji fedha na kutoheshimu mahakama.
Mwandishi wa...
Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na...
Wasema imefikia wakati wa Belarus kujiokoa kutoka kwenye mikono ya Mrusi, waelekea Ukraine kufanya yao huko, na hii itasababisha vitaifa vyote ambavyo vimekua vikinyanyaswa na Urusi kujiunga pia...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Rais wa #Urusi, Vladimir Putin kuzungumza mgogoro uliopo ili kunusuru raia wasio na hatia
Viongozi wa #China wamesema Urusi ipo tayari kwa...
China yaipa msaada Ukraine wa yuan million 10
========
China to provide additional $1.6m of humanitarian aid to Ukraine
China will provide an additional 10 million yuan (roughly $1.6...
Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine.
USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote...
Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan...
Maafisa wa kijeshi wa Ukraine wamedai kuwa takriban wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa tangu Rais Vladimir Putin alipoanzisha uvamizi wake zaidi ya wiki tatu zilizopita.
Katika sasisho...
Naomba nianze kwa kutoa historia fupi ya kiwanda hiki cha kusafisha mafuta Zambia. Alafu mwishoni watu mtatoa maoni kwanini viongozi wa nchi hii hawakuua kiwanda hicho na kwanini chetu kilikufa...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Moja kwa moja kwenye mada. Jarida la Business Insider liketoa orodha ya Nchi 20 zenye mzigo mkubwa wa madeni.
Kwa mujibu wa aliyekuwa speaker wa Bunge la Tanzania...
Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema.
"Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku...
Tatizo la wakimbizi halijaanza Leo wala halijaanzia kwa wakimbizi wa Ukraine!
Wanavyofanyiwa kwa uungwana wakimbizi wa Ukraine na mataifa ya ulaya ni jambo zuri sana! Swali ni je kwa nini...
Leo ijumaa,18 March, Russia imesema kuwa itashambulia msafara wote utakaokuwa wapeleka mfumo wa ulinzi wa anga wa S-300 kwenda Ukraine. Kauli hiyo imejiri baada ya Slovakia kusema ipo tayari...
Sniper ambae asingependa jina lake lifahamike hadharani, ni raia wa Canada na ni mwana jeshi mstaafu wa jeshi la Canada.
Anafahamika kama one of the deadliest snipers kuwahi kutokea duniani.
To understand the #ukrainecrisis, four dates are very important, 1962, 1989, 2008 and 2014.
(1)1962
In 1962, the Soviet Union/Russia tried to install a military hardware in Cuba, which threatened...
Coca-Cola, Starbucks, Pepsi na McDonald's zimeungana na Kampuni nyingine kusitisha Biashara Nchini Urusi kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine. Kumekuwepo na shinikizo kutaka Biashara kuchukua...
Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho.
Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la...
Shirika la habari la Reuters linaripoti kuwa wananchi wengi wa Urusi hawaelewi Urusi inapigania nin Ukraine wanaoielewa ni Putin na wanajeshi wake tu.
Vita zingine zote Urusi imekuwa na support...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.