Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi Duniani UNHCR, Filippo Grandi amesema watu milioni 10, ikiwa ni zaidi ya robo ya idadi jumla ya raia wa taifa hilo wamelikimbia kutokana...
Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na URUSI. Mabeberu walimvimbisha kichwa, hata hakuweza kabisa kuheshimu makucha marefu ya URUSI.
Malengo ya MAREKANI na...
Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa.
Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia...
Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa...
Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine.
Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles)...
Baraza la Jiji la Mariupol nchini Ukraine limesema vikosi vya Urusi vimeshambulia kwa mabomu Shule ambayo Watu 400 walikuwa wamehifadhiwa "Jengo limeharibiwa na Watu wakiwemo Wazee, Watoto na...
Reporters Without Borders filed a war crimes complaint against Russia with the International Criminal Court (ICC) for the bombing of television towers in Ukraine, a top official with the group...
China imetoa matamshi ya kibabe wakati ikimjibu NATO Sec Gen Jens Stoltenberg ambaye aliinganga Beijing kwa kutoachukua hatua ya kulaumu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Taifa hilo la china...
Kama chanzo ni NATO kujipanua mpaka Ukraine kama ilivyokuwa kwa zile nchi nyingine ndogondogo zilizokuwa USSR zamani, basi vita hii ni Russia Vs U.S.A maana sasa ndio tunaona zaidi jinsi hata hiyo...
Rais Volodymyr Zelenskyy amesema amesaini maombi rasmi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU). Pia, ameomba Umoja huo uiruhusu Ukraine ipate Uanachama mapema iwezekanavyo, chini ya Utaratibu Maalum...
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine vimesema takwimu za awali zinaonesha vikosi vya kijeshi vya Urusi vimepata hasara kubwa tangu mwanzo wa uvamizi huo.
BBC haiwezi kuthibitisha madai haya kwa kina...
Akiwahutubia wananchi wa Russia mjini Moscow, Rais Putin amewatia moyo wapiganaji wake walioko Ukraine kutetea Usalama wa watu wao na kutoa Ujumbe muhimu kwa Dunia.
Putin amenukuu maneno ya Yesu...
VATICAN CITY (Reuters) - Pope Francis on Saturday introduced a landmark change allowing any baptized lay Catholic, male or female, to head most departments as part of a new constitution for the...
Rais wa Russia mh Putin amekiri nchi yake kuumizwa sana na vikwazo ilivyowekewa na EU, USA na UN.
Putin amesema vikwazo hivi vitaijenga upya Urusi na kuifanya kuwa taifa jipya lisilomtegemea wala...
Naomba tuwekane sawa kidogo kuhusu mgogoro wa Urusi na Ukraine, hii inafuatia kuibuka hoja nyingi ambazo kimsingi zinatokana na uelewa hafifi wa watoa hoja kuhusu mada ya msingi. Hoja kubwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.[emoji113]
Wanajeshi wa kujitoelea (volunteers), wakiwemo na wanajeshi wa kukodi (mercineries) wanaomiminika kutoka kila pande za dunia...
The situation between the US/NATO and Russia has become critical. If you hear news that any of these radar stations has had "an incident" that's your proof that WW3 has commenced and nuclear...
Kupoteza majenerali kwenye uwanja wa mapambano ni jambo la hatari sana, kunasababisha wanajeshi wapoteze hamu ya vita, yaani mpaka mumfikie kumuua jenerali inabidi muue wnajeshi wengi sana...
Wizara ya mambo ya nje ya Bulgaria imesema leo kuwa wanadiplomasia 10 wa Urusi hawatakikani tena nchini humo na kuwapa masaa 72 kuondoka kutokana na kile walichokisema ni shughuli zisizoendana na...
Mashirika ya ndege yamefuta leo mamia ya safari zake za kuingia na kutoka viwanja vya ndege vya Ujerumani baada ya wafanyakazi wa usalama kufanya mgomo wa kudai nyongeza ya mishahara.
Wahudumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.