Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine.
Shirika la biashara na maendeleo la Umoja...
Pamoja na kukwama kwa wanajeshi wa Urusi kusonga mbele vitani nchini Ukraine , Rais Putin anaonekana amepata pigo kutoka ndani ya Kremlin yenyewe.
Mmoja wa washauri wake, Anatoly Chubais...
Au elimu tuliyopewa ulikuwa ni uongo , just. United nations organization. , International criminal court (icc) are for African states only? Or vile vile tu.
Africans are inferior to western?
China yasema hakuna nchi katika G20 inayoweza kumfukuza uanachama nchi nyingine. Hayo yamesemwa baada ya Marekani kutaka Urusi iondolewe uanachama katika kundi hilo
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya...
By. Dr. Omar Ali Albuluushiy.
Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh.
Welcome, dear brothers and sisters.
We see that the events took place and a commotion about the Krone virus that...
Picha: Madeleine Albright
Madeleine Albright aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje wa kwanza mwanamke wa Marekani kuanzia mwaka 1997 mpaka 2001, chini ya utawala wa rais Bill Clinton amefariki dunia...
Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema.
Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji...
Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia.
Waziri Mkuu Mohamed...
Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana...
Chanjo ya Moderna ya COVID-19 inafanya kazi kwa watoto wachanga, wanaokua, na watoto wa chekechea, kampuni hiyo ilitangaza Jumatano maendeleo ambayo yanaweza kufungua njia kwa watoto wadogo kupata...
Kwa mujibu wa tangazo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, dola milioni 2 hutumika kwa mwezi kutoka kwenye mifuko ya walipakodi nchini Marekani kuwalinda wanasiasa wawili wa Republican wenye...
Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza...
Waziri wa zamani wa Zambia ameingia matatani kwa ufisadi. Karibuni kanunua helicopter ya $700,000.
Kwa mapato yapi huko serikalini?
Alikuwa na mahoteli na mali lukuki.
Hawa ndiyo wale wazalendo...
Asee Trump kumbe ni kichwa kinoma asee, sikuliza maoni yake juu ya uzembe wote na aibu aliyoileta Joe kwa America, sikuliza maoni yake na kisha sikuliza maendeleo aliyoyafanya kwa jeshi la US...
Maksym Levin ambaye ni mwanahabari picha wa Ukraine aliyekuwa anapiga picha eneo lilikuwa likishambulisha mjini Kyiv hajulikani alipo.
Rafiki wa mwanahabari huyo, Markiyan Lyseiko ana mashaka...
sitaki kuzunguka mbuyu Sana, ni hivi kwann mmarekani amepigana Vita nyingi zaidi kuliko taifa lolote duniani!? nn anapata kwenye hizo Vita anazoenda kupigana?, hivi ni taifa gani ambalo liko...
Jibu hili nilikuwa nina mjibu kaka Yericko Nyerere katika hoja zake ambazo ziliegemea kumtetea Mrusi dhidi ya Ukraine.
Nina tamani kwa yeyote anayemtetea Mrusi apate kusoma ili ndio apime hoja...
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.