International Forum

News and Stories from rest of the World
Maandamano yalioitishwa na mfanyibiashara na mwanasiasa maarufu wa upinzani Martin Fayulu yametawanya na polisi mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Maandamano hayo yalilenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mji wa Kigali umeanzisha aina mpya ya kusafiri mjini humo kwa kutumia baiskeli kama sehemu ya juhudi za Rwanda kukabiliana na uchafuzi wa mazingira na kupunguza hewa ya kaboni katika miji na vituo...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu waliojihami kwa silaha nzito wamelivamia gereza moja katika jimbo la Kogi nchini Nigeria na kuwafungulia idadi kubwa ya wafungwa. Msemaji wa gereza la Kabba, Francis Enobore amesema kuwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Explained in 60 seconds: The Development Bank of Southern Africa Strong infrastructure lie at the heart of our daily experiences. They enable the movement of goods, services and people, while...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry amemfuta kazi mwendesha mashtaka aliyekuwa anataka kumfungulia mashtaka kama mshukiwa katika mauaji ya Rais Jovenel Moise. Hatua hiyo imeitumbukiza Haiti katika...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Mgogoro wa Rwanda na Burundi wachukua sura mpya. Ambapo sasa mataifa hayo yameingia katika mzozo mpya wa kugombea kilima kiitwacho Sabanerwa. - Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amedai kuwa nchi...
0 Reactions
89 Replies
10K Views
Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Syria imetowa ripoti yake hii leo inayosema kwamba hali bado sio salama nchini Syria kwa wakimbizi kurudi,ikiwa ni muongo mmoja tangu ulipozuka mzozo...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Mozambican head of state, Nyusi, publicly stated that France was ready to support bilateral and multilateral partners in the fight against terrorism in Mozambique. This leaves no doubt about who...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa (UN) unatazamia kukusanya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 600 kusaidia Afghanistan, ikionya nchi hiyo inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu. Kwa mujibu wa UN, Raia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla Kabla ya...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021 Mwendesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watoto wawili mapacha wamefariki dunia baada ya kuporomoka kutoka ghorofa ya kumi wakati mama yao akijivinjari LIVE katika mtandao wa facebook. Mapacha hao Moise Petrice wa kiume na Beatrice...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu 84 wamefariki dunia na wengine 67 kujeruhiwa tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwezi Julai. Mvua hizo zimeathiri Majimbo 14 kati ya 18 huku nyumba 30,000 zikiharibiwa. Umoja wa Mataifa (UN)...
1 Reactions
3 Replies
871 Views
Kundi la Wanasayansi wa Kimataifa limesema Chanjo za nyongeza (Booster shots) dhidi ya Virusi vya Corona hazihitajiki kwa Umma katika hatua hii ya mlipuko na ushahidi zaidi unahitajika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani. Aidha wanawake...
17 Reactions
105 Replies
9K Views
Mlinzi wa zamani wa Rais Emmanuel Macron amefikishwa Mahakamani Jumatatu kujibu mashtaka ya kuwashambulia wapenzi wawili wakati wa maadamano ya kupinga ubepari mwaka 2018. Macron, ambaye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
A very popular conspiracy theory that has been making its rounds on Social media recently makes a very troubling claim. According to the post, Bill Gates said that we can lower the population with...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu. Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza. Nini maana...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
MONDAY SEPTEMBER 13 2021 Soldiers on patrol in Guinea. The military coup in the country has been condemned by both the African Union and Ecowas. PHOTO | AFP Summary President Condé served two...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi...
7 Reactions
145 Replies
11K Views
Back
Top Bottom