Shirika la kutetea mazingira la Global Witness limesema rekodi ya watu 227 waliuwawa kote duniani mwaka jana wa 2020 kutokana na utetezi wa mazingira. Shirika hilo linasema idadi hiyo ni sawa na...
Mlipuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo au meningitis umetangazwa kaskazini- mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Mpaka sasa watu zaidi ya 120 wamekufa kutokana na ugonjwa huo.
Mgonjwa wa...
Waziri wa elimu katika serikali mpya ya Taliban amesema leo Jumapili kuwa wanawake nchini Afghanistan wanaruhusiwa kuendelea na masomo yao katika vyuo vikuu lakini madarasa yatatenganishwa na...
Shirika la Haki za binadamu la Amnesty limesema mashambulizi yameongezeka Magharibi mwa Niger tangu mwaka 2021 kuanza, huku idadi ya Watoto wanaolengwa ikiongezeka
Watu zaidi ya 500 wamepoteza...
Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua.
Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na...
Habari wadau,
Ni siku yapili Leo Taliban wanajaribu kuingia kwenye eneo ambalo ndio jumbo pekee ambali hawajafanikiwa kulimiliki hili ila wanakutana na kipondo toka kwa hawa jamaa wenye asili ya...
September 11 2001 The US forces and allies invade Afghanistan. The war against terror which led to the killing of Osama bin laden and occupied Afghanistan.
Tomorrow will be 20 years ago since the...
Habari iliyotufikia ni kwamba mwili au tuseme mabaki ya comrade Bob Mugabe rais wa kwanza wa Zim yanfukuliwa ili kuzikwa upya. Je kunani? Una ushauri gani kuhusiana na zengwe hili?
Kwa habari...
Katika miongo miwili iliyopita kulikuwa na mwelekeo mzuri sana katika nchi za Afrika, kwenye kufuata utaratibu wa katiba hasa linapokuja suala la kubadilisha madaraka. Utaratibu huu ulikuwa na...
Israeli troops detain a man near the northern Israeli village of Muqeibla while searching for six Palestinian prisoners who escaped Gilboa jail (6 September 2021)
Israeli forces set up roadblocks...
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu...
Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen ametahadharisha kwamba serikali ya Marekani inaweza kuishiwa fedha mwezi ujao na amelitaka bunge la nchi hiyo liongeze uwezo wa serikali wa kukopa. Waziri...
Kiongozi wa upinzani Belarus, Maria Kolesnikova amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela. Vyombo vya habari vya Belarus vinaripoti kuwa hii ni baada ya kuhusika katika maandamano ya mwaka jana...
Mwendesha mashitaka mkuu nchini Haiti amemtaka Waziri Mkuu Ariel Henry kuelezea sababu za kuzungumza kwa simu na mmoja kati ya washukiwa wa mauaji ya Rais Jovenel Moise usiku wa tukio lenyewe...
Angela Merkel Prepared To Let 1.3million Doses Of AstraZeneca Vaccine Go To Waste
German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an...
Mamlaka za afya nchini Malawi Jumatano zimesema kwamba kusita kwa watu kupokea chanjo za Covid nchini humo huenda kukapelekea maelfu ya dozi kuharibika ifikapo mwanzoni mwa mwezi ujao.
Kufikia...
Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu.
Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha...
Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale
wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii...
Kamanda Mkuu wa jeshi la Marekani Jenerali Kenneth McKenzie tarehe 30 Agosti alitangaza kwamba, Marekani imemaliza kuondoa vikosi vyake kutoka nchini Afghanistan, ikimaanisha kuwa, operesheni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.