Ni kama Series ya Prison break. Wapiganaji wa Kipalestina wa brigade ya AL Aqsa wamefanikiwa kutoroka jela yenye ulinzi mkali liitwalo 'Safe' huko Gilboa Israel. Jamaa Hawa wamechimba shimo chini...
Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19 na kusambaza virusi vya Corona.
Mahakama imemkuta na hatia...
Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi
===
GUINEA: WANAJESHI WAMPINDUA RAIS
Wanajeshi wamefunga mipaka ya Guinea na...
Habari za Hivi Punde Ni Kwamba,
Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini Afghanistan, itakayoongozwa na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo, mwanamgambo aliyekuwa akisakwa na FBI kama...
Wizara ya Mambo ya nje ya Ujerumani imeinyoshea kidole cha lawama Urusi kuhusiana na jaribio la kutaka kuiba data kutoka kwa wabunge.
Msemaji wa Mizara ya Mambo ya nje ya Ujerumani, Andrea Sasse...
Mkuu wa kikosi maalum cha jeshi kilichompindua Rais Alpha Conde amesema maafisa wa serikali ya Guinea sasa hawatoruhusiwa kusafiri nje ya nchi.
Kanali Mamady Doumbouya pia amesema marufuku ya...
Jamhuri ya kidemokrasia yaCongo imepokeadozi250,000 za chanjo ya Corona aina yaModerna.
Ni mara ya kwanza DRC kupokea chanjo nyingine isioyokuwa ya AstraZeneca.
Rais wa DRC, Felix Tshisekedi...
Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali.
Kundi hilo limesema mabomu ya...
Biden 'anaswa' akisinzia White House katika mazungumzo na waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel
Aug 29, 2021 13:10 UTC
[https://media]
Rais Joe Biden wa Marekani amenaswa akisinzia katika...
Natumai u bukheri wa siha njema mwanaJf mwenzangu...Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania na jina la jamhuri ya kiislam ya Iran
Kwa muda wa miaka 40 sasa uwezo wa kijeshi wa...
Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji...
Siku ya kuondoka jeshi la Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee...
Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo...
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres, Jumapili amelaani kile kinachotajwa kama mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea, na kuwasihi wanajeshi waliosema wamefanya mapinduzi hayo na kuchukua...
Njia ya Mungu ni fumbo
RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua...
Mapigano yanaendelea kati ya jeshi na vikosi vinavyomuunga mkono Raisi Alpha konde.mpaka sasa jeshi limeingia ikulu na kumshikilia Bwana Konde.
===
Guinea's President Alpha Conde addresses the...
Miezi kumi tangu kuanza kwa vita vya Tigray, Umoja wa Mataifa umeonya hali ya kibinadamu katika mkoa huo wa kaskazini mwa Ethiopia inaelekea kuwa mbaya zaidi, ukilaumu kile ulichokiita mzingiro wa...
Jeshi la Marekani limesema limemuua mtu anayedaiwa kupanga shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Kabul baada ya kufanya shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani.
Operesheni hiyo ya usiku wa kuamkia...
Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.