International Forum

News and Stories from rest of the World
Ujumbe mzito wa Twitter umetumwa kwa rais Biden na mama aliyepoteza mwanaye Afghanistan USSR
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa Vikosi vya Marekani Nchini Afghanistan. Rais huyo amekosolewa kwa kiasi kikubwa kutokana na namna Vikosi vya Taifa hilo vilivyoondoka. Hata hivyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Botswana amemsimamisha kazi kwa mwezi mmoja Waziri Msaidizi wa Afya, Sethomo Lelatisitswe, kwa kukiuka taratibu zilizowekwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Serikali Nchini humo...
0 Reactions
2 Replies
35K Views
Burudi imezuia upelekaji nje aina ya madini adimu ( rare earth) mpaka suala la kupata faida yenye usawa kwa serikali na mwekezaji linafikiwa. Hayo yamesemwa na Waziri wa maji, nishati na madini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kundi la kigaidi lililokamata Nchi yote Afghanistan leo wameonekana Wakizunguka angani na Black Hawk Helicopter zilizoachwa na Jeshi la Marekani kwa zamu baada kujifunza kuzirusha kupitia You tube...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Mwakilishi wa WHO nchini Afrika kusini, Maria van Kerkhove amesema kuwa wamegundua uwepo wa virusi vipya vya Corona aina ya C.1.2 na kusema kuwa virusi hivyo vimeonesha tabia ya kuzaliana mara 2...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19 Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mambo ya Pre-election Debate yameanza kitambo kumbe. Mi nikajua yalianza 2020 wakati wa Uchaguzi pendwa. Nireteeni....
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Muda uliowekwa na Rais Joe Biden wa Marekani kuondoa majeshi kutoka Iraq umepita, huu ni muda ambao wamarekani wengi walikuwa wakiusubiria. Kwani kwa muda wa miaka 20, wamarekani wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Serikali ya Tunisia imeidhinisha hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kwa mwaka 2019, Nabil Karoui pamoja na kaka yake ambaye ni Mbunge, Ghazi Karoui kwa kosa la kuvuka mpaka...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini. kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
It's a matter of time before those who've betrayed Rwanda face consequences, Rwandan President Paul Kagame said Sunday, nearly two weeks after the killing of a former Rwandan spymaster turned...
2 Reactions
99 Replies
19K Views
Rouhani: Kila mwaka Iran huchimbua tani milioni 590 za madini nchini Jul 01, 2021 10:55 UTC [https://media] Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kila mwaka Iran huchimbua...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndege ya mwisho iliyowabeba wanajeshi wa Marekani imeondoka jana nchini Afghanistan na kuashiria kumalizika kwa vita vya miaka 20, vinayotajwa kuwa virefu zaidi katika historia ya Marekani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Swali: 1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote? 2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Maajabu ya Rais Mpya wa Zambia Hichilema Ni msabato na Ni Rais wa Saba wa Zambia toka ipate uhuru. Aligombea mfululizo kwa miaka sita kamili katangazwa mshindi mwaka wa Saba wa kalenda ya...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Mamlaka Nchini Niger zimesema watu 83 wamefariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Kipindupindu ikielezwa zaidi ya Visa 2,300 vimeripotiwa tangu Machi 13 Mikoa sita kati ya nane ya Taifa hilo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
6 major figures to lead Taliban through critical process All eyes now turned on 6 important figures who will guide Taliban's major decisions as group prepares to form government Bilal Guler...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom