International Forum

News and Stories from rest of the World
Vikosi vya Rwanda vilivyotumwa kusaidia kukabiliana na waasi vimewauwa wanamgambo wa kijihadi wasiopungua 30, maafisa wa usalama nchini Msumbiji wanasema. Maafisa hao wanasema wanajeshi walikuwa...
11 Reactions
102 Replies
15K Views
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Boubèye Maïga, amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya ndege ya Rais miaka kadhaa iliyopita. Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama na ndege...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza tangu mlipuko wa Virusi vya Corona kuanza, Taifa hilo limerekodi visa vipya zaidi ya 1,000 huku Hospitali mbili ambazo ni kubwa zaidi Jijini Sydney zikiweka mahema nje ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maisha yana namna nyingi za kutufundisha kushikilia tulichokuwa nacho kwa wakati huo. Baada ya Kundi la Wanamgambo wa Taliban kuchukua utawala wa Afghanistan, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Takriban watu 48 hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria wapatao 60 kupinduka Pwani ya Kaskazini mwa Nchi hiyo. Abiria 11 ambao 8 ni Raia wa Senegal na 3 ni Raia wa Gambia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Japan ilisitisha utumiaji wa dozi karibu milioni 1.63 za chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani ya Moderna dhidi ya corona (Kovid-19) baada ya vitu visivyojulikana kugunduliwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema utoaji Chanjo dhidi ya COVID19 barani Afrika umeongezeka ikielezwa dozi Milioni 13 zilitolewa wiki iliyopita. Idadi hiyo ni mara tatu zaidi ya Chanjo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa za muda mfupi uliopita Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu. Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
TF is wrong with CNN? Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto. Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine. Pia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mahakama nchini Urusi ilitoza kampuni za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha rubles milioni 36 (Bilioni 1.1) kwa "kukiuka sheria ya habari ya kibinafsi". Kesi...
2 Reactions
2 Replies
974 Views
Wakili wa Paul Rusesabagina, anayeelezwa kuwa shujaa katika filamu ya mwaka 2004 ya Hollywood ya Hotel Rwanda kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda" na ambaye anatuhumiwa kwa "ugaidi", amefukuzwa na...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Wanawake wanaofanya kazi nchini Afghanistan lazima wabaki nyumbani hadi mifumo sahihi itakapowekwa kuhakikisha usalama wao, msemaji wa Taliban amewaambia waandishi wa habari. "Ni utaratibu wa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ikiwa leo ndiyo siku anayoapishwa Hakainde Hichilema kuwa Rais wa 7 wa Zambia, Edgar Lungu kupitia mitandao ya kijamii (hii imetoka ukurasa wake wa Instagram) amewaaga wananchi wa Zambia na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul. Pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Ya Machweo Wakuu. Kwenye sherehe nyingi za uapisho wa Rais kwa nchi za Kiafrika vyama pinzani toka nchi mbalimbali huwa ni nadra kualikwa. Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema amevunja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Marekani imemuwekea vikwazo mkuu wa wafanyikazi wa jeshi la Eritrea Filipos Woldeyohannes juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu katika jimbo la Tigray. Eritrea imekanusha kuwa wanajeshi wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom