International Forum

News and Stories from rest of the World
Baada ya Visa duniani kuongezeka kwa kiwango kikubwa kwa takriban miezi 2, Shirika la Afya (WHO) limesema hivi sasa takwimu zinaonesha ongezeko la maambukizi lipo kwa kiasi kidogo. Visa vipya...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Ndugu wasomaji, ni nini tunajifunza katika hali hii iliyoko Afghanistan? Siku zote sijawahi kuwa na imani na unafiki wa watu wanaosema wanatetea dini lakini wakitoa watu kuwa sadaka kwa miungu...
10 Reactions
127 Replies
7K Views
• your excellency, the sixth president of the republic of zambia, mr. Edgar chagwa lungu and the former first lady, mrs. Esther lungu; • your excellencies visiting heads of state and government...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeweka kichwa cha habari kusema dini ya kiislamu ila sijalenga kwa ubaya ndio maana kuna nchi zengine zina dini zao zenye sheria kali tu. Hapa tunaona maisha ya miaka 20 ambayo Afghan...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii imezindua mfumo wa Makombora yenye kuhamishika (mobile) ya Ulinzi yaliyopewa jina Bavar-373. Makombora haya yanetengenezwa Tekinolojia ya ndani ya Taifa hilo...
15 Reactions
342 Replies
25K Views
Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha maisha nchini Senegal kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, amefariki dunia. Taarifa hiyo imetolewa leo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka. Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mashirika ya kimataifa ya kiutu yameonya kuwa mamilioni ya watu wa Syria na Iraq wapo katika kitisho cha kukosa upatikanaji wa maji, umeme na chakula katikakati mwa ongezeko la joto, kiwango...
1 Reactions
1 Replies
794 Views
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amekubali kuwa Mgombea Mwenza wa Chama Tawala cha Nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa 2022, hali inayoandaa mazingira kwa Kiongozi huyo kubaki madarakani hata baada...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Kais Saied ameongeza muda kusimamishwa kwa Bunge. Mwezi Julai, alimfuta kazi Waziri Mkuu na kuchukua Mamlaka ya Utendaji, hatua ambayo wapinzani walisema ni Mapinduzi. Ikiwa ni Mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Hili ni Azimio la October mwaka jana kupinga sera ya sasa ya covid. Essentially, linasema, wazee ndio wako at risk, kwa hiyo wasichanjwe wao peke yao. Wauguzi wengi wanaipinga hii Sera ya sasa...
0 Reactions
2 Replies
538 Views
Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetoa tahadhari juu ya kutokea kwa janga la kibinadamu nchini Afghanistan. Mkurugenzi wa shirika hilo nchini Afghanistan Mary-Ellen McGroarty, ametoa...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Jeshi la Indonesia limeondoa rasmi sharti lililodumu kwa miongo kadhaa la ‘ubikra’ kwa mabinti wanaotaka kujiunga na Jeshi. Kwa miaka mingi ili binti ama mwanamke ajiunge na Jeshi la nchi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea Urais anayeongoza nchini Zambia wa Chama cha UPNDP Hichilema, alishashindwa uchaguzi wa Urais mara 5 nchini humo lakini hakukata tamaa, hii anayoongoza sasa ni mara ya 6. Ni Mwanasiasa...
28 Reactions
106 Replies
8K Views
Talibani Na Afghanistan. Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)? Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38. Je, Katika Hii...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Umaarufu wa rais wa Marekani Joe Biden umepungua kwa asilimia saba na kufikia kiwango chake cha chini baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa Afghanistan, kulingana na uchunguzi wa Shirika la Habari...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom