International Forum

News and Stories from rest of the World
Polisi katika wilaya ya Moroto kaskazini mwa Uganda wameanza kuwakamata watu wanaonunua chapati tano au zaidi, wakishuku huenda wanawalisha wezi wa mifugo katika eneo hilo, Uganda Radio Network...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Rwanda will still be categorised as a least developed country by 2025 according to new projections by the United Nations Conference on Trade and Development (Unctad). This assertion is at...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
China imefanya marekebisho rasmi kwa sheria zake ili kuwaruhusu wanandoa kuwa na watoto hadi watatu, ili kuongeza kiwango cha kuzaliana. Kanuni hiyo ilikuwa moja kati ya kadhaa zilizopitishwa...
2 Reactions
3 Replies
841 Views
Badala ya kupambana na waasi, majeshi ya serikali yalitumia muda mwingi na rasilmali kunyanyasa na kuua raia wasio na silaha, nyumba kwa nyumba. Ndivyo RPF walivyoweza ku-gain ground almost...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza nianze na kusema kwamba, katika Marais naowaheshimu na kutamani kuwaona wakifanikiwa, basi huyu ni mojawapo. Niko Kigali kwa muda, mambo niliyoyaona kwa muda mchache niliokaa hapa...
13 Reactions
145 Replies
17K Views
Wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaeda na ISIL wameua watu 47 ambao 14 kati yao ni wanajeshi. Mauaji hayo yametekelezwa baada ya wapiganaji kuvamia mji wa Arbinda. Hata hivyo wapiganaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa Rais wa Afghanistan aliyepinduliwa na kikundi chenye msimamo mkali Taliban, Ashraf Ghani yasemekana ametoroka na zaidi ya kitita cha dollars za Marekani milion 169. Ubalozi wa Urusi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Marekani 'ikiikimbia' Taliban zifahamu nchi hizi nne zinazoendeleza uhusiano na kundi hilo CHANZO CHA PICHA,REUTERS Huku Marekani na nchi nyingi za magharibi zikiharakisha kuwoandoa raia wake...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepanga kuiweka lugha ya ishara kuwa lugha ya tano rasmi nchini humo ukiongeza kwenye Kiswahili, kilingala, Kituba na Tshiluba. Lugha hiyo ya ishara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Rwanda ,Paul Kagame ameonya kuhusu mahusiano ya kidiplomasia na Ufaransa kufuatia tangazo la wachunguzi wa Ufaransa kwamba watafungua upya uchunguzi kuhusu mauaji ya aliyekuwa rais wa...
2 Reactions
119 Replies
15K Views
Watu watatu wameuawa na dazeni ya wengine wamejeruhiwa baada ya wanamgambo wa Taliban kufyatua risasi ili kuwatanya watu waliokuwa wanaandamana kupinga utawala wa kundi hilo katika mji wa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amesema kupata chanjo ya virusi vya corona ni kitendo cha upendo na amewataka watu kuchanjwa. Katika ujumbe wake uliotolewa leo kwa njia ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tokea kuchukua nchi afghanistan kundi la taliban,hali ya wasiwasi baadhi ya raia na walio kuwa wanamuunga mkono mtawala aliyepinduliwa. Mambo naona kama tofauti sana? Kwanza talibani imekuwa...
4 Reactions
83 Replies
44K Views
Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Hong Kong wamekamatwa leo kwa madai ya kuunga mkono ugaidi. Polisi wa Hong Kong wamesema waliokamatwa ni wanafunzi wa kiume wenye umri wa kati ya miaka 18 na 20...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wazungu wako bize kutuma madege kuhamisha "watu wao" kutoka Afghanistan baada ya Wataliban kuiangusha serikali yenye askari waliofunzwa vizuri kwa miaka 20 na kupewa silaha nyingi za kisasa na...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe . Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA...
13 Reactions
61 Replies
5K Views
Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo. Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo...
6 Reactions
209 Replies
52K Views
Elias Mpedi Magosi Elias Mpedi Magosi ameidhinishwa kukalia kiti cha Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), akimrithi Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Mtanzania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni suala la muda tu, Kabul itakuwa chini ya udhibiti wa Taliban. Kinachoendelea ni mashambulizi makali kutoka kila upande wa mji. Kiongozi wa Taliban anasisitiza kuwa hataki umwagaji wa damu na...
17 Reactions
367 Replies
65K Views
The Anglican Church of Ghana has sacked one of its priests, Balthazar Obeng Larbi, who was captured kissing female students of the St Monica’s College of Education in Asante Mampong. The...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom