International Forum

News and Stories from rest of the World
Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Wazee wa kazi wakiwa na vilemba na kanzu lakini disco lake si la kitoto, begani ana rpg na mkononi ana ak47 lakini mkono wanaotembeza imebidi serikali isalimu amri, naomba nitume salamu kwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Zambia Edga Lungu ameshtushwa na wanachama wa upinzani UPND wanaonunuliwa kujiunga chama tawala cha PF wanalipwa K20000 na wengine K5000 badala ya kiasi kilichotengwa cha K200,000 na...
1 Reactions
94 Replies
9K Views
Kandolo = viazi vitamu = manumbu Hiyo ni kauli ilitolewa na waziri mmoja uko Zambia pale ambapo wananchi walilalamikia mkate kupanda bei. Wananchi hawasahau, na nimeona wengi wameiweka status...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
Wakuu habari za muda? Naomba kufahamishwa, Taliban wametumia mbinu gani kuiteka nchi ya Afghanistan? Siku sikia vita na majeshi ya serikali zikipigwa wala shari ya aina yoyote ile,nimeona tu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi karibuni dunia imeshangazwa baada ya kusikia Rais Ashraf Ghan wa Afghanistan amekimbia mji mkuu wa nchi hiyo Kabul, baada ya mji huo kuzingirwa na wapiganaji wa kundi la Taliban. Kukimbia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Muda mfupi uliopita Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyau amehitimisha kikao muhimu na Wakuu wa vyombo vya Ulinzi & Usalama. Kikao hicho kilifanya tathmini ya mashambulizi dhidi yaliyofanywa...
11 Reactions
210 Replies
15K Views
Sina maneno mengi ila marekani kwenye vita kabaki jia tu licha ya kuligharamia mno jeshi lake list ni hii 1.RUSSIA 2.CHINA, 3UK (UK + Australia + Canada)
5 Reactions
173 Replies
16K Views
Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mamlaka katika Mji wa Beni zimetangaza utaratibu wa wakazi kubaki nyumbani katika muda utakaopangwa (curfew) baada ya mabomu mawili kulipuka Jumapili ya Juni 27, 2021. Bomu la kwanza lililipuka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanasema ukisikia mwenzanko kanyolewa na wewe weka maji kichwa chako upate kunyolewa. Hali si nzuri huko kuanzia boda yetu na Zambia. Nasikia wachina washaanza kufunga virago wengine sijui...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
WHO Urged To “Immediately Halt” Mass Vaccination Program A virologist has urged the World Health Organisation (WHO) to immediately halt mass vaccination to reduce viral infectivity rates and to...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
In 1932, the USPHS, working with the Tuskegee Institute, began a study to record the natural history of syphilis. It was originally called the “Tuskegee Study of Untreated Syphilis in the Negro...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kumbe haya mambo ya wanasiasa kuguswa na tuhuma za ugaidi siyo kwa Freeman Mbowe pekee bali ni duniani kote. Mwanasiasa mkuu wa upinzani aliyetuhumiwa kwa ugaidi ameachiwa huru nchini Venezuela...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Hali ya wasiwasi imeanza kutanda duniani kote baada ya waasi wa Afghanistan wenye MSIMAMO mkali wa kiislam kutwaa miji mikubwa ya nchi hiyo na sasa kungia kwenye baadhi ya viunga va mjimkuu wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Caminhos de Ferro Angolanos | Angola's Railroads - Page 6 - SkyscraperCity
10 Reactions
48 Replies
10K Views
Back
Top Bottom