Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao!
Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha...
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya...
Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria.
Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na...
Ni wazi mgombea wa upinzani nchini Zambia atatangazwa mshindi.
My concern is: Historia inatukumbusha kuwa Hichilema aliwekwa ndani na Lungu kwa kumpa kesi ya kumbambikia ya Uhaini. Mahakama...
Balozi wa Uingereza mjini Tehran ametoa maelezo kuhusu picha iliyosambazwa mitandaoni akiwa pamoja na balozi wa Russia na akaiomba radhi serikali na wananchi wa Iran.
Simon Shercliff, balozi wa...
15 August 2021
Johannesburg, Republic of South Africa
Rais wa zamani Jacob Zuma amelazwa hospitalini katika maeneo ya KwaZulu Natal na kufanyiwa upasuaji wa mwanzo ambao katika siku chache zijazo...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ambaye ameapishwa hivi karibuni, amepata chanjo ya #COVID19 ya COVIran Barekat.
COVIran ni moja ya chanjo inayotengenezwa Iran ambayo ipo katika mchakato wa...
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa Rais wa Zambia Edgar Lungu. Lungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanja mbuga kumnyang'anya Ikulu.
Sisi kama...
Wizara ya Afya ya Ivory Coast imethibitisha maambukizi ya Ebola kwa mtu mmoja ikiwa ni baada ya miaka 25 tangu walipoudhibiti ugonjwa huo
Shirika la Afya Duniani(WHO) limeonesha hofu ya virusi...
Taifa hilo lililoathirika zaidi ya janga la Corona Mashariki ya Kati litaweka zuio la safari zote za barabara pamoja na Lockdown ya wiki moja
Biashara na Ofisi zote ambazo sio za mahitaji muhimu...
Matokeo ya Awali yaliyotangazwa na Tume inayosimamia Uchaguzi Nchini humo mapema leo yameonesha Mpinzani Hakainde Hichilema anaongoza kwa Kura
Amepata Kura 171,604 huku Edgar Lungu anayetetea...
Maandamano makubwa yameibuka ambapo barabara ya Kitwe - Chingola imefungwa baada ya wananchi kupinga Shirika la misitu na mazao yake , ZAFFICO ( Zambia Forestry and Forest Industries Corporation )...
Kiongozi wa Kikundi cha Kigaini cha Islamic Jihad Kamanda Hussam Abu Arbeed ameuawa na majeshi ya Israel kwenye shambulizi la Anga
Kamanda Hassam amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na amehusika na...
Taifa hilo limeanzisha utaratibu wa utoaji chanjo dhidi ya COVID19 nyumba hadi nyumba kwa makundi maalum ya watu ikiwemo Wazee
Mamlaka zimesema huduma hiyo imesogezwa nyumbani kutokana na uhitaji...
Kikundi kipya kilichoundwa na Iran huko Iraq chaapa kuikomboa Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa kimabavu na Israel
Ama kweli mbombo ngafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]iran na hamas mpya...
Saudi King Salman called to disarm Hezbollah on UN General Assembly.
Every normal country must designate Hezbollah as a terrorist organization -- for the sake of peace and stability!
BREAKING: The people of Malawi have elected a new President in opposition candidate, Dr Lazarus Chakwera.
Incumbent President Arthur Peter Mutharika lost miserably and this came as a result of...
Nasrallah: Hujuma dhidi ya Quds ina maana ya vita vya kieneo na kuangamia Israel.
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa hujuma dhidi ya...
Imekuwa ni kawaida sasa kwa nchi nyingi za kiafrika kuwanyima watu wake uwezo wa kupata habari kupitia mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, TWITTER n.k hasa baada ya kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.