Israel [emoji1134] waoneeni huruma Wairan! Jana tu kumetokea mlipuko mkubwa sana kwenye kiwanda cha Iran cha kutengeneza ndege vita zisizo na rubani na leo tena kumetokea mlipùko na moto mkubwa...
Mswada wa pendekezo umefichua mpango wa majimbo 16 ya Ujermani na wa serikali kuu juu ya kuacha kuwapima watu maambukizi ya virusi vya corona bila ya kulipia.
Wabunge wa Ujerumani wanatarajiwa...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika.
CDC...
Takriban Wanajeshi 25 na Raia 17 wameuawa katika moto wa msituni uliotokea Mkoa wa Kabylie. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema pamoja na vifo, Wanajeshi kadhaa wamejeruhiwa wakikabiliana na moto huo...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa RPF chini ya Paul kagame umefanya mpinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwenye nchi ya Rwanda.
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto.
Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname...
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi
Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri...
Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake.
Kwa mujibu wa...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa.
Mamlaka...
Mfumo mpya wa Apple utakagua picha zenye Maudhui ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto kwenye Simu za watumiaji.
Zaidi ya Watu na Mashirika 5,000 wamesaini barua ya wazi wakipinga Teknolojia hiyo...
Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa
Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden...
Kama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali, tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na...
Ukitazama Ramani, hizi ni wazi kabisa Marekani amemzunguka sana Iran kijeshi, kiasi kwamba ni Rais Mwendawazimu tu wa Iran anayeweza kudhubutu kuanzisha vita na Marekani, the rest itakuwa ni blah...
Israeli-managed tanker attacked off Oman, motive unclear, 2 dead
DUBAI, July 30 (Reuters) - A petroleum products tanker managed by Israeli-owned Zodiac Maritime came under attack on Thursday in...
8 Aug 2021
Business Insider
The United States has sent B-52 bombers and Spectre gunships to Afghanistan in a bid to stop Taliban insurgents who are marching towards three key cities.
The B-52s...
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.
Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982...
Wapiganaji nchini Mali wamewaua takribani watu 51 na wengine kujeruhiwa baada ya kuvamia na kudhibiti mji wa Ouatagouna, Karou na Deoutegeuf.
Mashuhuda wamesema watu hao walivamia na kurusha...
Kesi ya Ufisadi inayomkabili Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma imeahirishwa kwa mara nyingine hadi Septemba 9 kutokana na hali yake ya kiafya. Zuma alilazwa Hospitalini wiki iliyopita.
Jaji Piet...
Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16.
Kwa ujumla...
Mamia ya watu wameuawa baada ya makazi yao katika jimbo la Ethiopia la Afar kushambuliwa na kundi lenye silaha.
Maafisa wa jimbo hilo Jumatatu wameripoti kwamba zaidi ya watu 200, wakiwemo watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.