International Forum

News and Stories from rest of the World
Mvua kubwa inayoonyesha japan jumamosi imepasua kingo za mto Kum.a kwenye jimbo la kumamoto na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ikiwemo vifo. Mpaka kufikia muda huu idadi ya watu 16...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo kwq siku ya pili mfululizo wakati maambukizi yanayotokana na Kirusi Delta Nchini humo yakiendelea kuongezeka licha ya jitihada za Mamlaka. Watu 815 wamefariki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumbe hii dhana ya " vyama vya upinzani " siyo sahihi kwa sababu Wapinzani ni watu siyo vyama. Upinzani uko ndani ya mtu mmoja mmoja na kwa maana hiyo hauwezi kufa hata kama vyama vitakufa. Kumbe...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Miji ya San Francisco na New Orleans imewataka wakazi kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID19 ili kuweza kuingia kwenye migahawa, maeneo ya mazoezi (gym) na sehemu nyingine Kwa upande...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Andry Rajoelina amewaondoa kazini Mawaziri wake wote bila kutoa sababu, lakini siku chache zilizopita alisema kuna mapungufu Serikalini na mabadiliko yanahitajika. Hatua hiyo imekuja...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA) Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable...
15 Reactions
60 Replies
7K Views
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Nchini humo ambapo Tume ya Uchaguzi imesema matokeo kamili yatatangazwa baada ya saa 72 tangu zoezi la upigaji kura kumalizika. Mamilioni ya Wazambia wengi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amefanya ziara hivi majuzi nchini Congo DR na kuingia mikataba mbalimbali na Rais Felix Tshekedi. Mmoja ya mkataba muhimu ni ule wa ulinzi huku Kenya ikipewa kibali...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Serikali Nchini humo imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo ya Johnson and Johnson dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Hadi sasa Mamlaka za Afya za India zimeidhinisha Chanjo kadhaa ikiwemo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Mataifa jirani ya Afghanistan kuacha mipaka yao wazi wakati idadi ya raia wanaokimbia ghasia za Taliban zikiongezeka. Maelfu ya wakimbizi wa ndani wameelekea Mji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wenzetu Ufaransa wanaanza rasmi kuwabana wananchi wale ambao wamekataa kuchanjwa chanjo za Uviko19. Restriction hizo ni pamoja na kuzuiwa kuingia kula kwenye migahawa, kupanda usafiri wa kwenda...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutokana na kuwepo Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi zaidi, Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) imeidhinisha utoaji wa Chanjo za ziada za Pfizer na Moderna kwa watu ambao kinga yao ya mwili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi wa wale waliopewa chumvi isiyokuwa na madhara ni wenye miaka zaidi ya 70. (Chanzo cha picha: AFP) Mamlaka kaskazini mwa Ujerumani imewataka zaidi ya watu 8,000 kurudia kupata chanjo za...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Miji mitano katika Jimbo la Hubei imetangaza tahadhari baada ya mvua kusababisha vifo vya watu 21 na kulazimisha watu wapatao 6,000 kuhamishwa makazi. Mamlaka zimeonya mvua kubwa zinaweza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Uchaguzi Mkuu unafanyika leo ambapo Edgar Lungu anawania muhula wa pili wa Urais, huku akikabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa Hakainde Hichilema wa Chama kikuu cha upinzani. Wapiga kura wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Takriban watu 52 wamekufa katika mafuriko ya Niger huku 34 wakijeruhiwa na maelfu wakipoteza nyumba zao, viongozi wanasema. Hii ni pamoja na watano waliokufa kati ya Jumanne na Jumatano baada ya...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
The men were arrested three years ago and accused of affiliation with a terrorist organization and raising funds on its behalf. Hamas has expressed “shock” at the ruling issued by a Saudi court...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Siri ya kubakia hai Jamhuri ya Kiislamu katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamuu Jun 05, 2021 08:12 UTC Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa ubunifu mkubwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom