Wakubwa salaam
Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari
Mi swali langu ni hii kitu...
Rais wa Zambia, Edgar Lungu amekubali matokeo ya uchaguzi mkuu ambao mpinzani wake, Hakainde Hichilema ameibuka mshindi wa nafasi hiyo. Lungu ameahidi kuunga mkono hatua hiyo na kuachia madaraka...
Maelfu ya waandamanaji wakiwa na magari na baiskeli walikusanyika leo kwenye mji mkuu wa Thailand, Bangkok kumtaka waziri mkuu Prayut Chan-O-Cha kujizulu kutokana na jinsi alivyolishughulikia jana...
Kiongozi wa Wademocrat katika Baraza la Seneti nchini Marekani Chuck Schumer leo ametoa wito kwa mamlaka za nchi hiyo kukomesha mauzo ya vitambulisho bandia vya chanjo ya Covid-19 vinavyouzwa...
Kwanini watawala wote wa Africa wanaposhindwa uchaguzi huwa hawakubali na hawaondoki mapema kwa amani hadi wajivute vute wabembelezwe na wapetiwe petiwe?
Edgar Lungu wa Zambia alikwisha shindwa...
Mahesabu yanaonyesha anaendelea kushindwa na ameanza kulalamika........
======
Zambian President Edgar Lungu has declared the August 12 presidential and parliamentary election “not free and...
Kundi la Taliban limesema halitaki kuhodhi madaraka lakini linasisitiza hakutakuwa na amani nchini Afghanistan hadi kuwepo na serikali mpya mjini Kabul na Rais Ashraf Ghani aondolewe.
Hayo...
Idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Haiti imepindukia watu 1,200. Haya yanakuja wakati waokoaji wanaendelea na juhudi za kufukua vifusi vya majengo yaliyoanguka...
The Israeli army has formed a new combat unit which will be used in any future war with Lebanese Shia paramilitary Hezbollah, Israeli media reported on Tuesday.
The unit, which bears the number...
Mwaka 2017 Kiongozi wa upinzani nchini Zambia (UPND) Hakainde Hichilema na wafuasi wake watano waliwahi kushitakiwa kwa makosa ya ugaidi kufuatia madai kuwa msafara wao ulizuia msafara wa rais...
Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni...
Zaidi ya majimbo 6.wapinzani waongoza na huenda wakachukua serikali. Jana vijana waligoma kuondoka vituo vya kupigia kura na walilinda kura zao kwa Umahiri wa hali ya juu.Baadhi ya watu waliopata...
Takriban watu 304 wamepoteza maisha kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku wengine wapatao 1,800 wakijeruhiwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Ariel Henry ametangaza Hali ya Dharura kwa mwezi...
Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa...
Naona tena tetemeko limeipiga Haiti na kuangusha majumba, Hii nchi kuna shida mahali make si kwa haya majanga yanayo iandama, Sijui hali ya maisha ikoje huko,
Wanasema siku zote chama tawala kukubali kushindwa ni ngumu.
Huko zambia mpinzani wa edgar lungu kuzidi kuwa kinara kwenye matokeo ya uchaguzi.
Sasa chama tawala wanapinga
Mtandao wa Jeshi la Israel una report kuwa,kundi la wanamgambo la Hezbollah limejenga ghala/bohari la silaha karibu kabisa na shule ya watoto.
Ni umbali wa mita 25 tu kutoka ilipo shule hiyo...
Hii ni baada ya Taarifa kuanza kuzagaa nchini humo kwamba Rais huyo anayemaliza muda wake kutoka chama cha Patriotic Front ameangukia pua .
Edgar Lungu Rais aliyejipa utukufu wa kimungu kwa...
Kituo cha idara ya uchunguzi mjini Bangalore India
Umati wa watu Alhamisi umeshambulia biashara na magari ya wafanyabiasha raia wa India katika mji mkuu wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.