Usiku wa leo mda wa saa 0200, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo amtangaza Mpinzani wa Chama cha UNDP kuwa Rais wa nchi baada ya kushinda Kwa kura 2.8m akimuacha Rais Edga Lungu wa PF kwa...
Kampeni kubwa ya kimataifa inaendelea kuwahamisha raia wa kigeni na wa Afghanistan waliofanya nao kazi, wakati maelfu ya watu waliojawa na hofu ya utawala wa Taliban wakizidi kufurika katika...
Fahamu kundi la Taliban nchini Afghanistan , Mapambano yao dhidi ya Serikali ya Afghanstan na sababu Marekani kupeleka na kutoa Majeshi yake nchini humo.
Abdul Nondo,
Watu wengi wanapata...
Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan.
Mapema leo, mamia ya raia wa...
Na Ronald Mutie
Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu...
Habari za siku nyingi
Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan
Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio...
Habari wakuu.
Mipaka ya nchi ni kitu kinachobadirika kila leo. Miaka 30 iliyopita kulikuwa na nchi kubwa ya USSR. Leo haipo, imetoa nchi kibao.
Ujerumani haikuwa nchi moja, hakukuwa na Sudan...
Jana wana Mgambo wa Kitalabani waliitisha kikao chao cha kwanza na waandishi wa habari wa kimataifa kueleza jinsi watakavo uongoza serikali yao. katika vitu muhumu walivyo sema ni:
1. Utawaala...
Idadi ya waliofariki baada ya tetemeko kuikumba Haiti ni watu 2,189 huku wengine 12,000 wakijeruhiwa
Haiti ni nchi masikini ambayo kwa sasa inakabiliwa na changamoto za kisiasa baada ya kuuawa...
The emerging Lambda variant has been popping up in the news as it spreads rapidly throughout South America. In California, at least 152 cases have been reported, the first as early as September...
Rais wa Zambia, Edgar Lungu
MGOMBEA upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema, ameongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais, uliofanyika tarehe 12 Agosti 2021, dhidi ya Edgar Lungu...
Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani, amekimbilia Tajikistan, kwa mujibu wa Al Jazeera!
Taliban wameshinda!
Taliban wamechukua nchi!
Mwezi mmoja uliopita, Rais wa Marekani alisema bila kumung’unya...
Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul.
Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae...
Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao.
Kampuni ya Facebook imesema timu...
Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana...
Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans
'Screw your freedom': Schwarzenegger calls out anti-vaxxers
Washington (CNN)Top health officials in the Biden...
Miaka ishirini baadaye.
Picha ya kushoto ukiitazama vyema utaona alama moja nyeusi.
Huyo ni mwananchi wa Afghanistan akidondoka kutoka kwenye ndege.
Picha ya kulia ni picha moja maarufu...
Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo
CHANJO YA CORONA KUFANYIWA...
Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua...
IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.