International Forum

News and Stories from rest of the World
Waliwaambia Uganda waandae makazi ya wakimbizi kutoka Afghanistan. Jamaa wakachangamkia fursa. Ila hadi leo ndege haijatua Uganda. Bunge la Uganda limemtaka Waziri Mkuu ajieleze walipo wageni...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Zaidi ya watu 900,000...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
The Mississippi State Department of Health issued an alert on Friday ordering any coronavirus-positive individuals to isolate for at least 10 days or face up to a 5-year prison sentence and a fine...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia. ======== Somali military officers on a street in the...
6 Reactions
85 Replies
7K Views
Rais wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada ya kufunguliwa mashtaka ya "mauaji ya halaiki" kutokana na vifo vya waandamanaji vilivyotokea...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ametetea mkakati wa taifa hilo wa kuzifunga shughuli za kawaida kama sehemu ya juhudi za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona hadi angalau asilimia 70...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii. Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Pamoja na kuondolewa kwa vikosi vya kigeni nchini Afghanistan na taifa hilo kuchukuliwa na Taliban, tunaangalia ni kiasi gani Marekani na washirika wake wa Nato wametumia katika nchi hiyo kwa...
2 Reactions
0 Replies
886 Views
Rais wa Marekani Joe Biden ameapa kuwa atawarejesha nyumbani raia wote wa Marekani kutoka nchini Afghanistan pamoja na Waafghani waliosaidia juhudi za nchi yake kwenye vita vya karibu miaka 20...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na...
5 Reactions
209 Replies
34K Views
Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mahakama ya rufani nchini Kenya jana imekataa jaribio la serikali la kufanya mabadiliko makubwa ya katiba katika uamuzi ambao ni pigo kwa rais Uhuru Kenyatta aliyeasisi mchakato huo wenye utata...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita 130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika...
7 Reactions
114 Replies
11K Views
Tangu Taliban kutwaa mamlaka ya kuitawala nchi ya Afghanistan wiki hii memes za kusherehesha utawala huo muovu, katili na wa kijuha zimekuwa nyingi na zimetrend kila kona ya mitandao. Hawa...
20 Reactions
80 Replies
7K Views
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO, limesema Afrika Magharibi imeorodhesha idadi kubwa zaidi ya vifo vya corona au COVID-19 tangu janga hili lilipoanza huku nchi kadhaa za ukanda huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka hata hapa nchini kuna taarifa kadhaa zinazoelezea juu ya uundwaji wa chombo hichi, na hata kumewahi kutoka lawama ni kwa nini hwapewi kibali cha kujaribu Vifaa vyao hivi. Ingawa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Marekani, Umoja wa Ulaya na nchi nyingine 19 leo zimetoa taarifa ya pamoja kuwataka watu wenye mamlaka nchini Afghanistan kuhakikisha usalama wa wanawake na wasichana nchini humo. Taarifa hiyo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom