International Forum

News and Stories from rest of the World
Picha za 'Satellite' zimeonesha kituo cha Kijeshi ndani ya Saudi Arabia kikifanya majaribio na kutengeneza Makombora 'Ballistic Missiles'. Hili linakuja baada ya matamko mbalimbali yaliyotolewa na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
1. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mkatoliki Kennedy. 2. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mwafrika Obama. 3.Ndio wamekuwa na waziri wa kwanza mwafrika wa mambo ya nje. Powell. 4. Ndio wamekuwa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
(Algiers) Former Algerian President Abdelaziz Bouteflika died on Friday at the age of 84, state television reported. Posted on September 17, 2021 at 7:07 p.m. Quebec, Canada FRANCE MEDIA AGENCY...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6. Wameweka marufuku...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania Naamini huu ujumbe utakufikia Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Sheria ya kwanza ya msamaha inachukuwa kipindi cha kuanzia Agosti 18 hadi Septemba 24, 2020, ikimaanisha kipindi ambapo Assimi Goïta aliendesha mapinduzi ya kijeshi hadi alipotawazwa Bah N'Daw...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62. Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India...
15 Reactions
77 Replies
13K Views
Israel yalazimika kukiri nguvu kubwa za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sep 13, 2021 02:27 UTC [https://media] Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa droni yaani...
7 Reactions
112 Replies
9K Views
Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba. Amesema kusitishwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Women in Afghanistan can continue to study in universities, including at postgraduate levels, but classrooms will be gender-segregated and Islamic dress is compulsory, the higher education...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwaka 2022 Kenya itaanza kutengeneza chanjo ya COVID-19 ndani ya nchi kwa kushirikiana na kampuni za dawa katika hatua ya kurahisisha usambazaji wa chanjo kwa watu wengi. Waziri wa Afya Mutahi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadukuzi wanaojiita Sangkancil wamedai kudukua taarifa binafsi za zaidi ya watu milioni 7 nchini Israel. Wadukuzi hao wamesema wamedukua taarifa hizo kutoka kwenye tovuti ya CITY4U ambayo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
We use Human Mainly,human capacity,human intellince and we are good at that.
0 Reactions
3 Replies
571 Views
Taliban na mbwembwe zote zile Sasa hv wanamlilia Tena US awasaidie kuendesha nchi. Saudia kanyuti Kama hawajui ======= Taliban took Afghanistan but face cash squeeze By JOSH BOAK...
13 Reactions
180 Replies
13K Views
Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) limesema Watoto Milioni 1 huenda wasiende Shule kutokana na matukio ya utekaji nyara yanayolenga Wanafunzi Zaidi ya Wanafunzi 1,000...
1 Reactions
0 Replies
772 Views
Ndugu wa Wahanga wa mlipuko uliotokea Beirut Agosti 2020, walionusurika tukio hilo pamoja na Mashirika ya Haki za Binadamu wametaka kufanyika uchunguzi huru chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Serikali ya Haiti imeendelea kuingia kwenye sintofahamu baada ya Waziri Mkuu, Ariel Henry kumbadilisha Waziri wa Sheria, Rockfeller Vincent Pia, Afisa wa Juu amejiuzulu akisema hawezi kumtumikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ripoti hiyo inaangazia athari zinazoletwa na mabadiliko ya hali ya hewa, kama vile upungufu wa maji, upungufu wa uzalishaji chakula, ongezeko la maji baharini, masuala ambayo huenda yakasababisha...
2 Reactions
1 Replies
755 Views
Back
Top Bottom