Nato: China ni changomoto kwa usalama wetu
Katibu mkuu wa Nato Jens Stoltenberg anasema muungano huo hautaki vita baridi na China, hivyo China isiwachukulie vibaya.
Mkuu wa muungano wa Nato...
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa, watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema idadi ya matukio ya utekelezaji wa hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia imeongezeka tena baada ya nchi hiyo...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, Mtoto mmoja kati ya wanne ndiye mwenye kutumia Vifaa vya Kidigitali na Mtandao.
Imeelezwa, Familia nyingi zimeuza mali zao au...
Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa kote mjini Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa wale waliochanjwa dhidi ya virusi vya corona.
Zaidi ya polisi...
Meya wa Jijini New York, Bill de Blasio ametangaza zuio la kuingia sehemu za mazoezi na migahawa.
Amesema wasiochanjwa hawataweza kushiriki katika shughuli nyingi.
Sera hii itaanza kufanya kazi...
Wakuu, Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi walijeruhiwa. Wakati huo bi harusi hakuwepo katika...
Japan inatarajia kubadili Sera ili kuweka kipaumbele katika kulaza Wagonjwa wa COVID19 wanaoumwa sana ili kuepuka kudhoofisha Mfumo wa Afya.
Hivi sasa Taifa hilo linarekodi zaidi ya visa 10,000...
Jiji la Wuhan Nchini China ambalo liliripoti mlipuko wa CoronaVirus kwa mara ya kwanza mwaka 2019 litawafanyia vipimo wakazi wote baada ya maambukizi kuripotiwa.
Mamlaka zimehusisha visa hivyo na...
Yanahusu kuuwawa kwa juvenal habyarimana na jinsi RPF walivyo husika.
Pia wanamgambo wa RPF ndani ya interlahamwe, Kama kiongozi wa interlahamwe ambaye Robert kajuga.
Na lengo la mauaji ya...
Nigerian student shocked to see friend's body in anatomy class
Mon, August 2, 2021, 2:01 AM
In our series of letters from African writers, Nigerian journalist and novelist Adaobi Tricia Nwaubani...
Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza.
Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za...
Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati.
Uamuzi huo unakuja...
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara amejitenga baada ya kuwa karibu na mtu ambaye aligundulika na Virusi vya Corona. Jina la mtu huyo halijawekwa wazi.
Ametoa wito kwa Wananchi kupata Chanjo...
Idadi ya waliofariki dunia kutokana na mafuriko mabaya ya mwezi Julai imeongezeka kufikia 302 na wengine bado hawajulikani walipo.
Eneo la Zhengzhou katika Jimbo la Henan liliathiriwa zaidi...
UK experts are set to recommend all 16 and 17-year-olds should be offered a Covid vaccine, the BBC has been told.
The Joint Committee on Vaccination and Immunisation stopped short of making the...
Nelson Mandela sold out black South Africans. Now there's a sentence you won't have heard in the days since his death and that you won't be hearing at his memorial tomorrow. Yet it's...
Kulingana na taarifa ya South China Morning Post, ili kuzuia kuenea kwa virusi aina ya Delta vya Kovid-19 huko Beijing, baadhi ya ndege za kwenda jijini pamoja na huduma za treni na mabasi...
Kwangu mimi hii habari inaonyesha positive legacy ya utawala wa JPM: pamoja na kwamba Tanzania haikufuata strict guidelines za WHO kuhusiana na corona (lockdown, masking, etc), Tanzania haipo...
America has had 35,039,644 confirmed cases, which is about 18% of the world total, despite large surges in high population countries such as Brazil, India and Indonesia. The number of U.S. fatal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.