International Forum

News and Stories from rest of the World
Kampuni za Pfizer-BioNTech na Moderna ziliongeza bei zao za chanjo ya corona katika makubaliano ya hivi karibuni na Jumuiya ya Ulaya (EU). Kulingana na Financial Times, bei ya dozi 1 ya chanjo ya...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Mwanaharakati na shujaa wa haki za binadamu nchini Marekani John Lewis ambaye aliandamana na Martin Luther King Jr, na kukaribia kuuwawa kwa kupigwa na polisi, kabla ya kuhudumu kama mbunge kwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama Kuu ya Uchaguzi Nchini humo (TSE) imefikia uamuzi wa kumchunguza Rais Jair Bolsonaro kutokana na kauli zake zinazodai kutakuwepo udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Bolsonaro...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A prominent Hong Kong singer and pro-democracy activist has been arrested by the city’s anti-corruption watchdog over accusations he broke the law by singing at a political rally three years ago...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi na Polisi wamekamatwa Nchini humo wakihusishwa na jaribio la kumuua Rais Andry Rajoelina ambalo lilishindikana. Hadi sasa watu 21 wanachunguzwa Jaribio dhidi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa TEC ya Marekani ama baraza la maaskofu katoliki wa Marekani amejiuzuru wadhifa wake baada ya kugundilika kua ni shoga. Askofu huyo amegundulika kua ni shoga baada ya taarifa...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
Waziri wa Afya wa Iran, Saeed Namaki amesema Wimbi la Tano la Virusi vya Corona ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na Kirusi aina ya Delta linaweza kuwa baya zaidi endapo hatua hazitachukuliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuacheni kudanganya watu hii imetoka kwenye takwimu --- Less than 1% of fully vaccinated people experienced a breakthrough infection, according to a Kaiser Family Foundation analysis of official...
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19 100x2399= 239,900 hii ni kweli? ==== Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Kampuni ya Zoom imekubali kulipa Dola za Marekani Milioni 86 kumaliza Mashtaka ya Faragha yaliyofunguliwa mwezi Machi mwaka 2020 huko California. Zoom ilidaiwa kuingilia Faragha ya mamilioni ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema kuwa kesi za maambukizi ya virusi vya corona (Kovid-19) zinaongezeka tena ulimwenguni na ongezeko hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Raia wa Ufaransa maelfu kwa maelfu wameingia barabarani kupinga serikali ya nchi hiyo kuanzisha passport maalumu itakayotumika kuwatambulisha watu waliokubali kuchanjwa chanjo ya Corona, ikiwa ni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
RAIS MALAWI AFUATA HUDUMA YA INTERNET ULAYA. Raisi wa Malawi Lazarus Chakwera inasemekana amesafiri kwenda Uingereza kuhudhuria mkutano kwa njia ya mtandao Raisi huyo amelalamikia ubovu wa...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani. Hashpuppi, aliyejipatia umaarufu kwa maisha yake ya anasa...
2 Reactions
20 Replies
38K Views
waziri wa afya nchini humo, Dkt Thaddée Ndikumana amewaambia waandishi wa habari kuwa chanjo hizo zimependekezwa na Benki ya Dunia na wakachukua uamuzi wa ''kuzikaribisha''. Aliongeza, hatahivyo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
ASKARI Polisi saba wamefariki dunia huku 50 wakijeruhiwa nchini India, katika mashambuliano ya risasi ya wenyewe kwa wenyewe , yaliyoibuka Jumatatu, tarehe 26 Julai 2021, kwenye Mji wa Vairengte...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana, Desemba 7 Bitcoin ilipungua thamani kwa zaidi ya asilimia 12 ikishuka chini ya USD 3,400 kwa Bitcoin 1 ikiwa ndio thamani yake ndogo zaidi kwa zaidi ya mwaka mmoja Sarafu hiyo ya digitali...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu. Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom