Johnson & Johnson's COVID-19 vaccine will be made available to the public again, ending an 11-day pause initiated after a rare blood-clotting disorder was associated with the shot.
The Food and...
Mwanamume anayetuhumiwa kujaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali, Assimi Goïta, wiki iliyopita amekufa hospitalini akiwa chini ya ulinzi, serikali inasema.
Mshambuliaji huyo, ambaye...
Idadi ya wafungwa waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya gereza magereza mawili nchini Ecuador imefikia watu 27 huku serikali ya nchi hiyo ya pwani ya Magharibi mwa Amerika Kusini...
New Delhi: cPakistan purchased from China real time satellite data, comprising high definition video, optical and hyper spectral imagery that also can provide it the precise position of Indian...
Katika moja ya mahojiano na kituo cha tv Malema amesema sio busara kumfunga Jacob Zuma katika jela ya umma ukizingatia umri wake wa miaka 73, angeweza kutumikia kifungo cha nje akiwa nyumbani...
Mvua kubwa imenyesha katika Jimbo la Maharashtra, India na kuwaacha watu wengi bila makzi huku watu 125 wakiripotiwa kufariki dunia
Watu 90,000 wameokolewa katika maeneo hatarishi. Barabara kuu...
Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani.
Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa...
Marekani imetahadharisha hili kuwa makundi ya wanamgambo yameendelea na operesheni zake nchini Msumbiji katika eneo la Kaskazini la Cabo Delgado huku yakiungwa mkono na wanamgambo wa Islamic...
Oramed kampuni ya utengenezaji dawa, imetengeneza Chanjo ya Uviko19 kwenye muundo wa Kidonge. Kwa sasa Inasubiri kibali cha Wizara ya Afya ya Israel wiki mbili zijazo.
====
Israeli COVID vaccine...
Washukiwa kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio lililofeli la kumuua Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa nchi hiyo imesema Alhamisi hii.
Watu wawili ambao ni...
Umoja wa Ulaya umesema zaidi ya nusu ya raia wake watu wazima wamepatiwa chanjo kamili ya Covid-19, wakati nchi barani humo na Asia zikiendelea kukabiliana na maambukizi mapya yanayochangiwa na...
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.
Nitashangaa sana...
China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo
Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo...
King Abdullah of Jordan was set to meet with US President Joe Biden on Monday, the day after his government complained about Israel allowing Jews onto the Temple Mount and minor clashes between...
Mama huyu ametoa malalamiko yake kuwa watu wazima wanasababish foleni kuwa ndefu. Waruhusiwe tu wenye watoto na wazazi au walezi wao.
Ameendelea kusema watoto wanaposikia njaa foleni za...
Chief Rabbi wa Israel, ameagiza Muinjilisti mwanamama Amanda Elkohen aliyefafariki kwa ugonjwa kansa ya utumbo na kuzikwa katika Makaburi ya wayahudi huko Israel, mwili wake ufukuliwe kutoka...
Serikali imesema mafuriko mabaya zaidi kutokea ndani ya miaka zaidi ya 30 nchini humo yamepelekea vifo vya watu takriban 140, huku wengine Milioni 38 wakiathirika na nyumba 28,000 zikiharibika...
Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji
Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.