Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti amesema wagonjwa wa #COVID19 wamekuwa wengi, nchi 10 zina uhaba mkubwa wa vitanda na oksijeni
Kutokana na uhaba wa...
Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis...
Awali ilionekana kama uvumi na uongo kuhusu uwepo wa viumbe vingine vya ajabu mno angani, wengi waliojaribu kutoa taarifa hizi walibezwa na kuonekana waongo lakini sasa jeshi la marekani...
By PETER DUBE
The chief executive officer of a wealth, investment and asset management company in South Africa has been suspended for allegedly taking part in the looting and violence that have...
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali.
Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya...
Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na...
Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa
Source: https://www.bbc.com/swahili/habari-47881222
Wanaanga wamefanikiwa kuchukua picha za kwanza kuhusu shimo jeusi ambalo linapatikana katika...
Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa...
Meja Jenerali Hassan Ahmed
Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed.
Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamepiga kura Kuiondoa picha ya Malkia katika majengo ya chuo chao kwasababu inawakilisha ukoloni-Manchester Evening News
Moja ya wachangiaji...
hii black hole inapatikana kwenye galaxy ya M87 ambayo ipo umbali wa zaidi miaka million 50 ya mwanga(more than 50 million light-years away)..
Albert Einstein theory yake miaka 100 inakuja...
Serikali ya Eswatini imekiri kutokea vifo katika maandamano wiki iliyopita. Waziri wa Biashara, Manqoba Khumalo ameeleza hayo katika mahojiano na Kituo cha Habari cha AFP
Amesema nguvu ilibidi...
Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa.
Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya...
Mziki wa Israel [emoji1134] kwa Iran hauchezeki eti! Dah.
Hackers broke into the website of the Iranian Transportation Ministry, and the site was soon taken down, multiple Hebrew media sources...
Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa...
Licha ya kauli kali zitolewazo dhidi ya Wazayuni, marais wa Uturuki na Israel wataka kustawishwa uhusiano
Chama tawala nchini Uturuki cha Uadilifu na Maendeleo AKP kimesema, Uturuki na utawala...
United Kingdom (#UK) has reported a huge spike in daily #Covid19 infections with 51,870 covid cases in last 24 hours.
This is the highest figure since January 15. The more infectious...
Zaidi ya watu 150 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa katika maeneo ya magharibi mwa Ujerumani na Ubelgiji. Operesheni zinaendelea za kuwatafuta na kuwaokoa mamia ya watu ambao bado hawajulikani...
Hivi majuzi tu Chama cha Kikomunisti cha China CPC kimesherehekea kutimiza miaka 100 tangu kiasisiwe mwaka 1949. Ambapo kililazimika kusubiri kwa miaka 28 hadi kuingia madarakani na toka hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.