However disturbing it might be,Australia Health Minister has openly said, ‘we’ve got to accept that the the New World Order is here.He said this as harsh COVID lockdowns are being imposed in...
Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake...
Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali...
Polisi nchini Ethiopia imesema imegundua kaburi la watu wengi lililokuwa na miili ya watu takriban mia mbili karibu na mpaka kati ya majimbo ya Oromia na Somali.
Mamia kwa maelfu ya watu...
Maandalizi ya kuizika miili ya takribani watu 832 waliofariki baada ya nchi ya Indonesia kukumbwa na tetemeko la rdhi pamoja na Tsunami yaanza
> Hapo awali kikosi maalumu kilielekezwa kuandaa...
Mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, Rebecca Akufo-Addo, amesema atarudisha kiasi chote cha fedha alichowahi kupokea kama posho tangu mumewe aingie madarakani mwaka 2017.
Hatua yake hiyo...
Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua.
Madai yao yaliwekwa wazi...
Takriban watu 38 wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ambapo 11 kati yao walikuwa wakipiga picha (Selfie) katika jengo la Kitalii la Amber Fort wakati mvua inanyesha
Katika matukio mengine, watu...
Russian armored vehicles managed to besiege an American military patrol in the Al-Hasakah countryside of northeastern Syria after a hot pursuit, while a Russian officer addressed the U.S. military...
Mheshimiwa Rais Joseph Biden wa Marekani amemteua Bibi Kilolo Kijakazi kuwa Kaimu Kamishna wa Shirika la Hifadhi ya Jamii, Social Security Administration.
Uteuzi wa Mama Kijakazi unafuatia...
Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph...
Wanajamvi habari za weekend
Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti
Wako kizuizini wakihojiwa.
Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo.
Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka...
Tanzania imeridhia Mkataba huu wa mwaka 1976, na hivyo kama ilivyo kwa Mataifa mengine inawajibika kisheria kufuata masharti ya Mkataba huo
Aidha, Kifungu cha 19 cha Mkataba huo kinazungumzia...
Hatimaye mamlaka ya udhibiti wa dawa nchini Cuba imetoa ruhusa ya dharura kwa matumizi ya Chanjo iliyozalishwa locally nchini Cuba.
Hongera kwa kujitambua CUBA!
=====
Cuba begins mass Covid-19...
Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Rwanda imeamuru kufungwa kwa shule na vyuo vikuu na kuzuia mikutano na mikusanyiko yote ya kijamii, kuanzia Julai 1.
Zuio la kutotoka nje kuanzia saa 1 jioni hadi saa...
Polisi nchini Bangladesh wamemkamata mfanyibiashara anayemiliki kiwanda cha kutenengeneza juisi, siku moja baada ya familia za waathiriwa wa moto uliosababisha vifo vya watu 52 kwenye kiwanda...
Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕
Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.