Mzuka wanajamvi!
Hii dhana ya eti Cameroon majimbo mawili yanayoongea kiingereza North West na South West kujitenga kwasababu ya uonevu inasukumwa sana na Bambekee (Bamilekee).
Bambekee ni semi...
Prosperity Party imeshinda Uchaguzi kwa kupata viti 410 kati ya 436, hatua ambayo inamhakikishia Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed miaka mingine mitano madarakani
Uchaguzi huo haukufanyika...
Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani.
Kura zimepigwa leo juu...
Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa...
Ethiopia has once again accused the Arab League of meddling with the country's massive dam project, known as the Ethiopia Grand Renaissance Dam (GERD), in a protest letter filed to the United...
Serikali imesema hali ya COVID19 ni janga na Mfumo wa Huduma za Afya umekufa. Hospitali za muda mfupi zimeanzishwa kote Nchini humo lakini Wizara ya Afya inasema hazitoshi, na wana changamoto ya...
Maonyesho ya kuonyesha sanaa za historia ya CPC yafanyika
Maonyesho ya sanaa za historia ya Chama cha Kikomunisti cha China yamefanyika kwenye Jumba la Kumbukumbu la Kitaifa la China.
Kwenye...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela.
Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa...
Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake.
Licha ya kujisalimisha Polisi...
Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameomba Mahakama kubatilisha Hukumu yake ya kufungwa miezi 15 alisema inaweza kumuua endapo atapata COVID19 gerezani.
Amesema yeye ni Mzee wa...
Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse.
Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa...
Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa
Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe...
Madai ya Marekani: Hatua mpya ya nyuklia ya Iran inatia wasiwasi
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani amesema kuwa uamuzi wa Iran za kuzalisha mada ya Fuel Plate (FPFP) kwa kutumia...
Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili
Uamuzi wa...
Ubalozi wa Marekani Baghadad washambuliwa tena kwa makombora
Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umeshambuliwa tena kwa maroketi mapema leo Alhamisi.
Duru za usalama Iraq...
Inakuwaje WanaJF!
Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana...
Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi.
Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation...
Katika soma soma yangu ya vitabu nimeona picha ya Mzee Kaunda Keneth almaarufu KK. Hiyo picha alipigwa 1928 akiwa mtoto huku ametika mavazi decent pamoja na viatu!!! Hakika mh Kaunda alioendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.