International Forum

News and Stories from rest of the World
Habari! Marekani imeiondolea Korea Kusini vizuizi ama ukipenda waweza kuita vikwazo vya muda mrefu (miaka 42) juu ya uwezo wake wa kutengeneza makombora. Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Thousands of jubilant England fans gave up on wearing face masks and caring about social distancing in the fight against Covid last night as they poured out of Wembley following the Three Lions’...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
ilifeli Vietnam, Iraq, na sasa Afghanistan Over 1,000 Afghan troops flee Taliban into Tajikistan More than 1,000 Afghan troops fled into neighbouring Tajikistan on Monday following clashes with...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Burundi ambayo inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu Mei, 20 mwaka huu imeonya kuwa kama Jumuiya ya Afrika Mashariki itatuma Wachunguzi, watawekwa karantini ya lazima kwa siku 14 Hii inamaanisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati hali ya joto ambayo imetajwa kuvunja rekodi ikiendelea Nchini Canada, Polisi huko British Columbia imepokea ripoti za takriban vifo 70 vilivyotokea ghafla tangu Jumatatu. Imeelezwa, wengi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari hii hapa chini kuhusu ongezeko la maambukizi mpya ya corona huko Israeli, nchi iliyochanja raia wake wengi kiasilimia kuliko nchi nyingine yeyote duniani, inaonesha jinsi ambavyo Magufuli...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Twitter is in uncharted waters in one of its largest markets. The social media company no longer has immunity over content posted on its platform by third parties in India, according to a court...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita. Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Bidhaa 20 za sayansi na teknolojia kutoka Iran zasajiliwa Kenya Bidhaa 20 za sekta za sayansi na teknolojia kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimesajiliwa nchini Kenya na hivyo zinaweza kuuzwa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
PICHA: Waziri wa zamani wa DR Kongo Matata Ponyo Mapon Seneti huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuondolea kinga ya kushtakiwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Matata Ponyo Mapon, hatua...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mpinzani wa zamani wa Urais wa Taifa hilo, Viktor Babaryko, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha. Babaryko ni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Waandaaji wa Olimpiki walitangaza watawaruhusu watu 10,000 tu au asilimia 50 ya uwezo wa ukumbi kuingiza watu katika hafla zote Idadi ya watazamaji katika hafla ya ufunguzi wa Olimpiki ya Tokyo...
2 Reactions
1 Replies
786 Views
Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndege ya Urusi iliyowabeba Watu 28 imepoteza mawasiliano leo na kuangukia Baharini umbali wa KM 15 hadi 25 kutoka Airport na taarifa zinadai Watu wote 28 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki...
2 Reactions
3 Replies
881 Views
Moto umelipuka katika kanisa la TB Joshua wakati wa mazishi wa kiongozi huyo wa dini aliyefariki dunia Juni 5 mwaka huu. Mjane wa kiongozi huyo, Evelyn Joshua aliongoza zaidi ya waombolezaji...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Tuna mambo ya kujifunza kwa yanayotokea duniani kwa namna nyingi. King Muswati, wa Eswatini, amekimbia nchi baada ya kuona nguvu ya wanaodai demokrasia imeongezeka. Lakini tukumbuke, Waswatzi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Maelfu ya watu wameandamana wakitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya matukio ya mashambulizi na mauaji ambayo yameyumbisha Taifa hilo miaka ya hivi karibuni. Shinikizo limeongezeka kwa Rais...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom