Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko.
Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439...
Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa.
Mamlaka...
Mkutano mkuu wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) leo umefanyika hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo...
Wakati jitihada za kuongeza kasi ya Chanjo zikiendelea Nchini humo, idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vya Corona imepita 400,000 huku Wataalamu wakionya namba halisi inaweza kuwa kubwa...
BREAKING: MADAGASCAR QUITS WORLD HEALTH ORGANISATION OVER COVID-19 SCANDAL
Madagascar President, Andry Ranoelina, has removed his country from the World Health Organisation. He angrily said...
Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15.
Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ulaya, Hans Kluge amesema Wimbi jipya la Maambukizi haliwezi kuepukika ikiwa Wananchi na Viongozi hawataendelea kuwa na nidhamu
Wiki iliyopita maambukizi...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imeanza uchunguzi wa jinai kwa Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump. Mwanasheria Mkuu, Letitia James, amekuwa akichunguza kama uongo...
Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko.
Kirusi Delta...
Donald Rumsfeld, the two-time US defence secretary who was one of the main architects of the Iraq war, has died at the age of 88.
Serving under President George W Bush, he was a key proponent of...
Nchi hiyo imeacha kutoa Dozi ya pili ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ili kutoa kipaumbele kwa wale ambao bado hawajapata Dozi ya kwanza.
Kutokana na upungufu, Serikali imesema itagawa...
Rwanda President Paul Kagame
"Whoever betrays the country will pay the price, I assure you," Rwanda's President Paul Kagame told a rally soon after the country's former intelligence chief...
Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu...
Marekani imepiga marufuku mauzo ya tiketi za ndege kutoka na kuelekea Belarus, ikiwa ni mwezi mmoja tangu Ndege ya Ryanair ilipolazimishwa kutua na Mwandishi wa Habari kukamatwa
Hatua hiyo ni...
Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto.
Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema China imeondokana na Malaria baada ya jitihada za miaka 70. Imeelezwa, katika miaka ya 1940, Taifa hilo lilikuwa linaripoti takriban visa Milioni 30 kwa...
Anasema unapokwenda Bank unakuta wafanyakazi ni nadhifu, hii yeye ndiyo ofisi yake haoni sababu ya kutokua nadhifu. Anaiheshimu hii biashara inamletea chakula chake na cha mama yake.
Takriban nusu ya watu katika Taifa la Australia wametakiwa kutekeleza agizo la kukaa nyumbani huko Sydney, Brisbane, Perth, Darwin, Townsville na Gold Coast
Mamlaka zinafanya jitihada kudhibiti...
Wembe wa chapa ya jina sawa na kundi la wanamgambo wa kiislamu ambalo limekuwa likitekeleza mashambulizi dhidi ya wakazi wa mji wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji, limeshtua mamlaka.
Wembe wa...
Wakati shughuli za uokoaji zikiendelea katika jengo la ghorofa 12 lililoporomoka siku ya Ijumaa nje kidogo ya mji wa Miami, Florida nchini Marekani, miili zaidi imetolewa katika kifusi cha jengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.