International Forum

News and Stories from rest of the World
Jumanne ya tarehe 29/06/2021 Polisi wa Mji mkuu wa New Delhi walieleza kuwa wamefungua kesi dhidi ya Mtandao wa Twitter kwa madai ya kupatikana maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto katika...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Wanasiasa wa Upinzani Nchini humo wameikosoa kitendo cha Serikali kuingia makubaliano na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari wakati wa Ukoloni, ambapo Taifa hilo liliomba msamaha na kuahidi Dola za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Urusi inakabiliwa na wimbi jipya la Corona Virus ambapo vifo 611 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita na kupelekea idadi ya waliofariki dunia kufikia 133,893. Aidha, visa vipya 21,650...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya Ethiopia Jumatatu imetangaza sitisho la mapigano katika jimbo la Tigray, miezi minane baada ya mzozo mbaya uliosababisha mafaa mengi, wakati ma elfu ya wakazi wakikabiliwa na baa la...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki. Ishara kuwa visa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Marekani imeanzisha mashambulio ya angani dhidi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran huko Iraq na Syria, Pentagon imetangaza. Mashambulizi hayo yalilenga "Eneo la kuhifadhi silaha", kwa kujibu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Pasi maalumu ya Umoja wa Ulaya, itakayoanza kutumika tarehe 1 mwezi Julai kurahisisha safari kwenda Ulaya kwa wale waliopata chanjo itaanza kufanya kazi lakini ikiwa na sharti moja muhimu. Mtu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wapiganaji wa Al-Shabaab walivamia kambi ya jeshi ya Galmudug mjini Wisil katikati ya Somalia ambapo walifanikiwa kuwaua watu 30 Shambulio hilo limetokea Juni 27, ambapo wa[piganaji walivamia na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapiganaji 18 wa Al-Shabaab ambao walihukumiwa kifo, wameuawa Juni 27 katika Galkayo Jimbo la Puntland nchini Somalia. Wapiganaji hao walihusika na mauaji ya watu muhimu wa nchi hiyo yakiwemo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati shamrashamra za mkutano wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika Carbis Bay, Uingereza zikimalizika, wataalam wanatathmini ahadi na mawasiliano ya jumla yaliyotolewa kwenye mkutano huo wa nchi 7...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Makanisa zaidi yachomwa moto Canada baada ya kugunduliwa makaburi ya wanafunzi wa shule ya wamishonari Polisi ya Canada imetangaza kuwa kuna uwezekano wa kuwepo mfungamano baina ya kugunduliwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril...
1 Reactions
1 Replies
878 Views
Jenerali Gerasimov: Russia inalinda haki yake ya kutumia silaha za nyuklia kujibu mapigo Jenerali Valery Gerasimov Jenerali Valery Gerasimov Kamanda wa Majeshi ya Russia amesema kuwa Moscow...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Iran yazima jaribio la kushambuliwa shirika lake la nishati ya atomiki na hakuna chochote kilichotokea Jun 24, 2021 03:06 UTC [https://media] Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetibua njama za...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kila mara najiuliza hivi ni kweli ndege iliyowaua akina Habyarimana na rais wa burundi wakati ule ilitunguliwa kweli na RPF au ni uzushi tu. Na kama RPF waliitungua ndege hiyo je wamechukuliwa...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Waziri wa Afya wa Uingereza Bi. Nadine Dorries amepatikana na maambukizi ya virusi vya Corona. Bi Dorries ambaye ni mbunge wa kwanza kupima na kukutwa na virusi hivyo, amesema amechukua tahadhari...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Jee taifa la mungu,kizazi teule,watoto barikiwa wa mungu wamekuaje tena??[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja...
3 Reactions
144 Replies
17K Views
Ahmadinejad Claims Israel Infiltrated Iranian Intelligence Former President Mahmoud Ahmadinejad says the highest-ranking Iranian intelligence official in charge of countering Israeli spies in...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
A sabotage operation against one of the buildings of Iran’s Atomic Energy Organization (IAEO) caused major damage – despite Iranian denials, The Jerusalem Post learned on Wednesday night...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Afisa wa zamani wa Polisi wa Minneapolis Derek Chauvin amehukumiwa jela kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya George Floyd.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom