Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na...
Derek Chauvin, askari aliyemuua George Floyd kwa goti amehukumiwa kwenda jela miaka 22.5
Kifo cha George Floyd kilisababisha maandamano makubwa ya #BlackLivesMatter nchini Marekani ambapo...
Free Beacon: Marekani inatengua uamuzi wake wa kuitambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa ni ardhi ya Israel
Jun 25, 2021 11:51 UTC
[https://media]
Tovuti moja ya Marekani imeripoti kuwa, serikali...
Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa...
Ayatullah Khamenei apewa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat iliyotengenezwa hapa nchini
Ayatullah Khamenei apewa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd inatarajiwa kutolea leo mchana jijini Minneapolis.
Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi tayari amepatikana na hatia ya mauaji ya George.
Mwezi April...
Ayatullah Khamenei apewa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat iliyotengenezwa hapa nchini
Jun 25, 2021 10:22 UTC
[https://media]
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya...
Serikali ya Russia yatoa onyo kali kwa Marekani na NATO
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa onyo kali kwa Marekani na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO ikiwaonya wasifanye chokochoko katika Bahari...
Habari wakuu,
Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja...
Watu tisini na tisa bado hawajulikani walipo baada ya jengo la gorofa kupromoka nchini Marekani
Tukio hilo limesababuiisha kifo cha mtu mmoja.
Mwandishi wa BBC anasema wahdumu wa uokozi wamekuwa...
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la...
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.
Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari...
Awali lilikuwa ni jambo la kubezwa na kudharauliwa. Wale walioripoti kuona vitu vya ajabu angani hawakuaminika, lakini sana jeshi la Marekani limethibitisha uwepo wa viumbe hivyo. Je, vina madhara...
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi...
Global Times: Marekani ndiyo mashine ya mauaji ya umati duniani
Gazeti la lugha ya Kiingereza la Global Times limetoa takwimu zinazohusiana na historia ya mauaji yanayofanywa na wanajeshi wa...
Miami building collapse leaves 99 people unaccounted for
Published1 hour ago
media captionWatch: Helicopter and eyewitness footage show the scene after the collapse
At least one person has died...
John McAfee amekuwa akiwa amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania
Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani...
Inasemekana kuwa, hata paka mpole anaweza kupambana kwa nguvu anaposukumwa kwenye kona. Hilo pia ni sahihi kwa binadamu, kwani hata wale wanaoonekana kuwa ni waoga, wanaweza kushambulia katika...
Iran ni nchi ya kwanza duniani kwa kusambaza gesi maeneo mengi nchini
Jun 24, 2021 13:15 UTC
[https://media]
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ni ya kwanza duniani kwa...
Ukame unaolikumba eneo la Kusini mwa Madagascar ni mbaya kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 40
Shirika la mpango wa chakula duniani linaonya kuwa unaolikumba eneo la kusini mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.