Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi
Waziri wa...
Jeshi la Yemen latungua ndege ya Marekani
Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limefanikiwa kutungua ndege ya kijasusi ya Jeshi la Marekani katika anga ya mkoa wa Ma'rib.
Msemaji wa Jeshi la Yemen...
Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu hii leo baada ya kuahirishwa mara mbili kutokana na mlipuko wa virusi vya corona na kutoa nafasi ya kukamilisha maandalizi.
Huu ni uchaguzi wa kwanza unaompa...
Jeshi la Polisi nchini Ureno wamemkamata mwanamume mmoja kwenye uwanja wa ndege huko Lisbon, ambaye alikuwa amebeba kilo moja ya Cocaine kwenye makalio bandia.
Vyombo vya habari nchini humo...
Naam, siyo wengine bali ni walewale watoto wa Ayatollah ndiyo wanaoongoza kutupiga tafu kwenye mikopo Siyo China, wala Marekani wanaoongoza kutukopesha ili tufanye mambo ya maendeleo, bali ni...
Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo
Maelfu...
Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo.
Ndani ya saa 24...
Uturuki imepokea Dozi Milioni 5 za Chanjo ya Sinovac inayotengezwa China huku Rais wa Taifa hilo, Tayyip Erdogan, akielezea matumaini ya kuinuka tena kwa Sekta ya Utalii
Sekta hiyo imekumbwa na...
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa...
Hong Kong(CNN)A rocket carrying three veteran astronauts bound for China's orbiting space station module will launch from the Gobi Desert in the country's north in just over 24 hours, China's...
MFAHAMU HAYATI KENNETH KAUNDA(KK).
Na Elius Ndabila
0768239284
Taarifa iliyoripitiwa hivi leo na vyombo vya ndani vya Zambia ni kuwa Rais wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mzee Kenneth KAUNDA ambaye...
Jiwe kubwa la almasi ambalo ni la tatu kwa ukubwa duniani limepatikana nchini Botswana, katika machimbo ya dhahabu ya Jwaneng yanayotajwa kuwa yenye utajiri mkubwa zaidi wa almasi duniani.
Jiwe...
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais waasisi wa Mataifa haya yaani Dk. Hastings Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia)...
Mzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina
=====
MAISHA YA AWALI
Kaunda ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanane. Alizaliwa katika...
Why Wall Street is in such a rush to get workers back to the office
By Matt Egan, CNN Business
Updated 9:18 AM ET, Fri June 18, 2021
Wall Street wants employees back in the office...
Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman.
Waziri Mkuu ameamua kuwa...
'Jeshi la nchi kavu la Iran ni la tano kwa uwezo mkubwa duniani'
Feb 01, 2020 12:22 UTC
Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uwezo wa kujihami wa Iran na...
Serikali inawapeleka Wataalamu wa Afya kutoka Jeshini kwenye Jimbo la Gauteng ambalo ni idadi kubwa ya watu na ni kitovu cha Biashara, ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona Virus.
Afrika Kusini...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema idadi ya watu waliolazimika kukimbia makazi yao duniani kwasababu ya mapigano na ukiukwaji wa Haki Za Binadamu imeongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.