International Forum

News and Stories from rest of the World
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itadhibiti mikusanyiko ya Umma kufikia watu 20 na kufunga klabu za usiku wakati Taifa hilo linakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The foreign ministers of BRICS (Brazil, Russia, India, China and South Africa) held a meeting on Tuesday and stressed the need to promote initiatives aimed at ensuring timely, affordable, and...
2 Reactions
3 Replies
680 Views
Nimekaa nikawaza sana ila sijapata jibu mpka sasa. Israel inatambulika kimataifa,kwanini Palestina haitambuliki kimataifa? Mpaka sasa bado sijaona faida ya UN mpaka sasa,hakuna mgogoro UN imeweza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Sunday, June 13, 2021 Zambia President Edgar Lungu collapsed in the capital, Lusaka, during a national defence day event on Sunday, local media reported. Shortly after, Secretary to the...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dominic Raab defends G7 barbecue after photos show world leaders not social distancing The world leaders were shown socialising in close proximity without face masks. (Twitter) Dominic Raab has...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchini Uganda, wanaharakati 18 kutoka chama cha Bobi Wine, wakiwemo watatu wa karibu sana na mpinzani huyo, waliachiliwa kwa dhamana Jumatatu, Juni 14, baada ya karibu miezi sita gerezani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu Iran ni balaa nyingine aisee, hawa viumbe ni sugu sijapata kuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe lengo la Iran kuwasaidia hao Wanamgambo wa Yemen ni kutengeneza hezbollah...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
ISRAEL SIO TAIFA TEULE Natumaini mu wazima wote. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kwenye mambo mbalimbali. Leo nyundo yangu itagonga kwenye hii kauli kwamba Israel ni...
19 Reactions
200 Replies
16K Views
Maafisa usalama 3 wa Palestina wauawa shahidi na jeshi la Israel na mwanajeshi mmoja wa Israel aangamizwa. Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limevamia mji wa Jenin ulioko kaskazini...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Felix Tshisekedi amesema Hospitali za Mji Mkuu wa Kinshasa zimelemewa kufuatia ongezeko la maambukizi ya Corona. Taifa hilo limerekodi visa takriban 35,000 na vifo 830 Kampeni ya Chanjo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Afrika Kusini imewafukuza wanadiplomasia kadhaa wa Malawi baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya kuuza pombe bila kulipa tozo. Taifa hilo pia limefukuza Wanadiplomasia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Muhammadu Buhari amekiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama Nchini humo, ahadi ambayo alitoa alipochaguliwa mwaka 2015. Kauli yake imekuja wakati baadhi ya Wananchi wakiandamana kuhusu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya USA kujitoa ktk mpango wa nuclear ya Iran Sasa tunaona hali ya usalama ktk hili eneo ikiwa mbaya zaidi. Waziri Mkuu Netanyahu tayari yupo Russia. Zaidi ya rockets 20 zimefyatuliwa usiku...
2 Reactions
200 Replies
19K Views
Jana nimeona kwenye BBC ugaidi unaofanywa na Palestine kurusha makombora kwa raia na kwenye nyumba za ibada, matisho kwa raia Wa kiyahudi yakuwa chungu mzima, serikali ya Israel sasa hamkwepi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kisiasa, la kuyamaliza maradhi ya UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kulingana na azimio hilo wanachama wa baraza hilo kuu wameahidi kupunguza...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Hospitali nchini Madagascar zimekuwa zikikabiliana na ongezeko la maambukizi ya Covid-19 , huku rais akiendelea kunadi dawa ya mitishamba anayodai ina uwezo wa kutibu ugonjwa wa Covid 19. Visa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
RwandaAirCopyright: RwandaAir Shirika la ndege la Rwanda, RwandAir imetangaza kuwa imesitisha kwa muda safari zake za ndege za kwenda na kutoka kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Uganda wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanamgambo wa Kikurdi wanaofanya kazi ya kulinda amani kaskazini mwa Syria wanasema kuwa wamemkamata mtu mmoja mzaliwa wa Syria mwenye uraia wa taifa la Ujerumani ambaye anashukiwa kuwasaidia...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Back
Top Bottom