International Forum

News and Stories from rest of the World
Juneteenth National Independence Day itakuwa inaadhimishwa Juni 19 ya kila mwaka. Ni siku katika mwaka 1865 wakati wanajeshi wa muungano walipoliarifu kundi la watumwa weusi kwenye jimbo la Texas...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
A Spanish man has been jailed for 15 years and five months for killing and eating his mother at the apartment they shared in Madrid. Alberto Sanchez Gomez killed his mother, cut up her body and...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Health workers in public hospitals and other facilities across the country are struggling to attend to Covid-19 patients due to limited personal protective equipment (PPEs). At least 2,299 health...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Baada ya Uchaguzi mkuu wa Israel, Chama cha Likud kinachoongozwa na Waziri Mkuu wa Zamani wa Israel,Benjamin Netanyahu kilipata viti 33 kati ya viti 120 vya bunge la Kneset la Israel. Chama cha...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu la mlipuko wa COVID-19 ambapo maambukizi mapya yameongezeka kwa 30% wiki iliyoisha na vifo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza kabisa nimekubali kuamini kuwa, tatizo liliopo Zanzibar sio Muungano bali ni dini na wanatumia muungano kama kigezo. Mimi ni muislamu lakini nalipongeza Jeshi kwa kutoa kibano...
14 Reactions
749 Replies
63K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Taifa hilo litajibu ikiwa Urusi itaendelea kutekeleza mashambulizi ya kimtandao dhidi yao. Akizungumza baada ya mkutano wake wa kwanza na Vladimir Putin, Biden...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Capture of Jerusalem’s Old City was not even a passing thought when the Six Day War began, but within 48 hours the Israeli flag was flying over its ramparts. It was an unintended conquest whose...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii ni video ambayo inadaiwa si ya muda mrefu. Mahali ni Sierra Leone kwenye moja ya migodi ya huko. Wachina sasa wametapakaa sehemu nyingi Afrika. Hapa kwenye video inasemekana ilikuwa ni...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Mamlaka Nchini humo zimetangaza kusitishwa mikusanyiko ya kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 12, ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona. Hivi karibuni Taifa hilo...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Zama za Benjamin Netanyahu zimefika mwisho baada ya Bunge Kumpitisha Naftali Bennett kuwa Waziri Mkuu. Swali ni moja, nini uelekeo wa Siasa za Mashariki ya kati, hasa uhusiano wa Israel na...
2 Reactions
98 Replies
9K Views
Palestinian Prime Minister Mohammad Shtayyeh describes the planned march through occupied East Jerusalem as ‘a provocation of our people’...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Juhudi za China ndani ya jamii ya kimataifa haziwezi kupingwa, lakini lengo la nchi za Magharibi kutaka kuongoza dunia linadai kuwa, China, kama nchi yenye ushawishi mkubwa isiyo ya magharibi, ni...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
Putin and Biden say talks were ‘constructive’ (msn.com) SPUTNIK/AFP via Getty Images TOPSHOT-SWITZERLAND-US-RUSSIA-SUMMIT-DIPLOMACY Russia's Vladimir Putin said his face-to-face talks with the...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Rais Joe Biden wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wanakutana leo Jumatano mjini Geneva kwa mazungumzo ya kwanza ambayo hayabebi matumaini makubwa ya kumaliza tofauti zilizopo kati ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek umewekwa Lockdown kwa wiki 2 ambapo wananchi hawatoruhusiwa kuingia au kutoka kufuatia ongezeko la maambukizi na vifo vya COVID19 Mbali na hayo, mauzo ya pombe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani limeonya kuwa kasi ya COVID-19 ni kubwa kuliko ile ya mgawanyo wa Chanjo, ikisema ahadi ya Mataifa ya G7 kutoa dozi Bilioni moja Nchi masikini haitoshi kwani uhitaji ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo tarehe 14 Juni ya mwaka huu ni Sikukuu ya mbio za mashua ya Dragon au sikukuu ya mbio za mashua ya joka, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China. Sikukuu hii ambayo imewekwa kwenye orodha ya urithi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom