Mahakama Jijini Moscow imepiga marufuku Mashirika yenye uhusiano na Mkosoaji mkubwa wa Serikali, Alexei Navalny, na watakaoendeleza harakati wapo hatarini kufungwa jela
Pia mtu yeyote atakayeunga...
Hivi karibuni, kampuni ya Huawei ya China imetangaza rasmi mfumo wa simu ya kisasa Harmony OS 2 na vifaa kadhaa vinavyotumia mfumo huo. Hatua hii sio tu inamaanisha simu na vifaa vingine...
Chuo cha kimataifa cha kupambana na ugaidi kimefunguliwa karibu na mji wa Abidjan huko Ivory Coast.
Chuo hicho kinachofahamika kama AILCT, kilifadhiliwa na Ufaransa na Muungano wa Ulaya ,EU, na...
Kampuni ya Israel yaiuzia Saudia teknolojia ya ujasusi
Jun 09, 2021 08:16 UTC
[https://media]
Shirika moja la ujasusi wa mitandaoni la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuuzia utawala wa...
Makala inayofichua nafasi ya Israel katika vita dhidi ya Yemen kurushwa hewani
Msemaji wa Vikosi vya Yemen amesema makala tarishi ya kufichua nafsi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita...
Good afternoon JamiiForums
Picha rasmi ya Rais ni lazima iwekwe upande wa kushoto na picha ya mumewe upande wa kulia. Picha zote mbili zinapaswa kutengenezwa na kutundikwa sambamba (pair) na...
Mzuka wanajamvi!
Rais mkakamavu wa Nigeria ambaye apendi upuuzi Ndugu Mohamodou Buhari amewaonya vijana wa Nigeria wawe na adabu na nidhamu kama wanataka kazi/ajira na kuajiriwa.
Buhari...
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Syria wazima shambulio la makombora la Israel
Jeshi la Syria limetangaza kuwa, ngao ya ulinzi wa anga ya nchi hiyo imefanikiwa kuzima shambulio la makombora la utawala...
Huku Tanzania tunawajengea nyumba mpya Viongozi waliotuibia zenye thamani ya Mamilion ya Pesa. Tunawanunulia na Magari wabadilishe kama Zawadi Kwa fedha za umma. Kagame yeye anawajengea nyumba za...
Rwanda gets first gold refinery
The refinery has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to its minerals before exporting them.
By...
Mkutano wa kundi la nchi saba (G7) unafanyika kuanzia tarehe 11 -13 Juni nchini Uingereza chini ya uenyekiti wa nchi hiyo. Mkutano wa safari hii unafanyika katika kipindi chenye changamoto kubwa...
Bunge nchini Morocco limeidhinisha sheria inayohalalisha ukuzaji wa bangi kwa ajili ya matumizi ya tiba na viwandani.
Lengo ni kuingia katika soko la kimataifa linalokua la kimataifa, kukuza...
Serikali imesema Kampuni za Mitandao ya Kijamii zinazotaka kuwepo Nchini humo zitalazimika kusajiliwa kama Kampuni ndani ya #Nigeria na kupata Leseni.
Imeelezwa, baadhi ya kampuni tayari zimepewa...
"Islamophobia is real, racism is real. You should have to face that hate in your communities, in your country. We can and we will act. We can and we will choose a better way."Prime Minister Justin...
Mwalimu mmoja wa shule ya msingi ya Gitega nchini Burundi yuko mikononi mwa Polisi kwa shutuma za kuwatesa watoto wa shule anaowafundisha.
Mwalimu Esperee Nzeyimana Ecofo Ngobeke , ambaye...
Pichani ni tukio lililotokea huko nchini Marekani Polisi wa Ohio wamemkamata Padre Fidelis Moscinski CFR mapema leo kwa kosa la kusali na kukemea utoaji wa mimba.
Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni...
Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa.
Treni moja, Millat Express ilitoka nje...
Wazayuni wasitisha maandamano baada ya onyo la muqawama wa Palestina
Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni, Benny Gantz ameyataka magenge ya Kizayuni yasifanye tena maandamano kuelekea Msikiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.