Tatizo la kiufundi limepelekea ndege ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris kurejea Maryland takriban dakika 30 baada ya kuondoka kuelekea Guatemala na Mexico
Air Force Two ilitua salama...
Ni nyumba ya vyumba viwili. Sharti la kuingia humo ni kusaini mkataba na serikali kuwa hutaiuza wala kuipangisha ni kwamatumizi yako na familia
Swali ninalo jiuliza ni kuwa wanalipa kodi au...
Zarif: Netanyahu naye pia ametupwa katika jaa la taka za historia; Iran inasimama kwa heshima
Jun 04, 2021 08:11 UTC
[https://media]
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
Wanajamvi
Nimekuwa Na hisia kuwa huenda Dr. Magufuri Ni kiona mbali kutokana Na nchi ya ulimwengu wa kwanza kupinga walimu kuvaa mask wakati wanafundisha kwani hakuna ushahidi kuwa mask zinazuia...
The Duke and Duchess of Sussex have announced the birth of their second child, a baby girl.
Lilibet "Lili" Diana Mountbatten-Windsor was born on Friday morning in a hospital in Santa Barbara...
Wapiganaji wenye silaha wanaodhaniwa kuwa wa Jihadi wamewaua takriban watu 138 kaskazini mwa Burkina Faso, katika shambulio linalotajwa kuwa baya zaidi kushuhudiwa tangu mwaka 2015.
Rais wa taifa...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizo ya corona, na huku kitovu kikiwa katika mji mkuu, Kinshasa, ikiwa ni moja ya miji yenye idadi kubwa ya watu barani...
Siyo WHO wala vyombo vya habari vya kimagharibi ambavyo vinawanyooshea kidole Sweden kwa hatua yake ya kupambana na uviko-19. Sweden imeamua kuto funga nchi, pia kutoshurutisha watu wake kuvaa...
Makundi ya Wazayuni yatishia kumuua mrithi mtarajiwa wa Netanyahu, Israel
Jun 06, 2021 07:27 UTC
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, waziri mkuu mtarajiwa wa...
Baada ya kudhalilishwa Gaza, Israel sasa yaitishia vita Lebanon
Baada ya kudhalilishwa na kushindwa vibaya na kambi ya muqawama katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu...
Akaunti yake ya YouTube ilikuwa na wafuasi milioni 1.8.
YouTube imesimamisha akaunti ya mhubiri maarufu wa Televisheni wa Nigeria TB Joshua juu ya madai ya matamshi ya chuki.
Shirika moja la...
Facebook imetangaza kumfungia aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kutumia mitandao yake ambayo ni Facebook na Instagram hadi Januari 2023.
Wamefikia hatua hiyo kwa madai kuwa Rais Trump...
Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni addicted wa dawa za kulevya
Mtandao wa Saudi Leaks umefichua kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anatumia dawa za...
Special forces arrested Sheikh Jamal al-Tawil in the city of Ramallah late Tuesday
Hamas spokesman Hazem Qassem in Gaza confirmed the arrest
JERUSALEM: The Israeli army said Wednesday it has...
Baada ya kushindwa Ghaza, sasa Wazayuni walana wao kwa wao
Baada ya kushindwa katika vita vya siku 11 baina yao na wanamapambano wa Palestina, sasa wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamenza...
Baada ya kushindwa Ghaza, sasa Wazayuni walana wao kwa wao
Baada ya kushindwa katika vita vya siku 11 baina yao na wanamapambano wa Palestina, sasa wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamenza...
Mda mfupi uliopita moto mkubwa umetokea katika kiwanda cha kusafisha mafuta Tehran-Iran, mpaka muda huu chanzo cha moto bado hakijajulikana wala majeruhi
Hili tukio limetokea siku moja baada ya...
Nchi za Magharibi ziko mbioni kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia na Syria
Baadhi ya nchi za Ulaya zimetangaza azma ya kufungua upya balozi na ofisi zao za kidiplomasia mjini Damascus karibuni...
Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African...
Mwingiliano wa utamaduni kati ya China na Afrika hivi sasa umekuwa mkubwa sana. Ni kutokana na maingiliano haya ndio maana pande hizi mbili zimekuwa zikifahamu baadhi ya tamaduni za pande zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.