Jeshi na kundi la haki za kiraia katika eneo, liliwalaumu Allied Democratic Forces (ADF), kundi la kiislam lenye silaha, kwa kuvamia Kijiji cha Tchabi na kambi moja ya watu waliokoseshwa makazi...
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Makombora ya Wapalestina yatabaki kuwa jinamizi kwa Israel
Waziri wa ulinzi wa Iran anasema makombora na ndege zisizo na rubani za Palestina zitaendelea kuwa jinamizi...
Nicosia.A 39-year-old British woman died in a Cypriot hospital after a blood clotting incident after receiving the AstraZeneca Covid-19 vaccine, the official Cyprus News Agency said Monday...
Alizaliwa kwenye kambi za wakimbizi ukanda wa Gaza mwaka 1965
Aliwahi kufungwa kwenye majela ya Israel miaka ya mwanzo ya tisini
Ndie kamanda mkuu wa kikundi cha kijeshi, Qassam Brigades, cha...
Awali wananchi hawa walitakuwa kuchomwa dozi ya pili ya AstraZeneca wiki nne baada ya chanjo ya kwanza dhidi ya virusi vya Corona kukamilika lakini haikuwezekana kutokana na sababu zisizozuilika...
Hamas: Kuichezea Quds ni moto utakaowachoma viongozi wa Israel
Naibu Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel...
China sasa imewaruhusu watu kuwa na hadi watoto watatu baada ya kupungua kwa kiwango cha watoto wanaozaliwa nchini humo.Hatua hiyo ni mabadiliko makubwa ya kisera kwa serikali ya nchi hiyo...
Afisa wa Hamas: Fikra za Shahidi Soleimani zilisambaratisha 'Kuba la Chuma, la Israel
Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Tehran ameashiria kombora shupavu...
Pigo jingine kwa ulimwengu wa kiislam
Bangladesh removes passport clause that barred travel to Israel
Bangladesh drops ‘except Israel’ clause from its e-passport at a time when Israel is being...
Makamu wa Rais wa Mpito Nchini Mali, Kanali Assimi Goita amesema amechukua madaraka baada ya Rais wa Mpito na Waziri Mkuu kushindwa kumshirikisha katika uundaji wa Serikali.
Goita ambaye...
The ministry of Foreign Affairs of the People’s Republic of China yesterday responded to allegations of discrimination against Africans in Guangdong Province, stressing that the government was...
Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS wametangaza kusimamisha uachama wa Mali baada ya jeshi la nchi hiyo kufanya mapinduzi ya pili...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeonya kuwa inaweza kurejesha Vikwazo Nchini Mali kufuatia Kanali Assimi Goita kuchukua madaraka.
Kanali Goita ameitwa kwenye Mkutano wa...
Mwaka 1976 Field Marshall Iddi Amin Dadaa aliwarudishia Waisrael ndege yao ambayo alikuwa akiitumia kama private Jet.
Field Marshall Idd Amin Dadaa alikuwa ameuziwa ndege hiyo na Waisrael mwaka...
Takribani watu 22 wamekufa baada ya kunywa pombe kali yenye sumu huko katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh.
Afisa mwandamizi wa wilaya ya Aligharh, Chandra Bhushan Singh amesema...
Desta Gebremedhin Asefa aliwahi kuwa mwandishi wa BBC katika ofisi zilizopo Kenya. Mei 28, 2021 ameachana na chumba cha habari na kujiunga na uwanja wa vita huko Tigray, Ethiopia.
Million...
Maji Maji in light of Namibia genocide
SATURDAY MAY 29 2021
National Archives of Namibia, Windhoek. Historian Jürgen Zimmerer is one of the most respected experts in German colonial history...
Maandamano yanaendelea Nchini Brazil kuhusu namna janga la COVID-19 linavyoshughulikiwa na Serikali ya Rais Jair Bolsonaro.
Katika Mji Mkuu wa Brasilia, maelfu ya watu wamekusanyika mbele ya...
Wanamgambo wa Kundi la kigaidi la Palestina HAMAS wanaishi kama digidigi kwa hofu na kujificha.
Hawaaminiani na hawaamini yeyote. Hii ni baada ya zaidi ya makamanda wao na wanamgambo zaidi ya 150...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.