OBAMA SIO BINADAM WA KAWAIDA
Muammar Gaddafi alimpenda Barrack Obama kama mtoto wake wa kiume.
Wakati Obama alipokuwa rais wa Amerika , Gaddafi alikuwa mmoja wa viongozi wa kwanza wa Kiafrika...
Shirika la Dawa Ulaya (EMA) limeidhinisha Chanjo ya Pfizer-BioNTech kwa Watoto wa miaka 12-15 ambapo Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zitaamua ikiwa zitaitoa kwa kundi hilo
Imeelezwa...
Siku tatu baada ya kuwashikilia, Jeshi Nchini Mali limewaachia Rais wa Mpito, Bah Ndaw na Waziri Mkuu, Moctar Ouane huku likiwavua wadhifa walionao. Viongozi hao walishikiliwa muda mchache baada...
Ule Mlipuko uliotokea Nchini Iran wiki iliyopita imefahamika ni kiwanda cha Drone mpya za Iran zilizopewa jina la ''GAZA'' kazi ambayo ni copy ya Drone ya Marekani na Drone ya Israel kwa Pamoja...
Zaidi ya Wamarekani 1,000 wengine wapoteza maisha kwa corona kwa siku moja.
Takwimu mpya zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha nchini Marekani zinaonesha kuwa, zaidi ya watu 1,000...
Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili.
Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia...
HAMAS: Tuna uwezo wa kuvurumisha mamia ya makombora kwa dakika
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza amesema harakati hiyo ya muqawama inayo uwezo...
Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo...
Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi.
Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima...
Jacob Zuma alisema NAPINGA makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu.
Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku...
Ununuzi wa Ndege ya Rais umeibua mjadala Nchini humo ambapo Wanachama wa Asasi za Kiraia na Upinzani wametaka kuwepo uwajibikaji katika ununuzi wa Ndege hiyo aina ya Airbus A320 Neo itakayowasili...
Inakuwa kama amini usiamini ,kumbe inawezekana na wenyewe wamelivalia njuga. Ni wangapi wamekamatwa kupitia meseji za wasapu hapa Tz na polisi wakijigamba, tena meseji zenyewe ni none-sense basi...
Mungu Roho mtakatifu anayeabudiwa Congo Tata Wahiseelwa Bolange kafariki dunia msiyemjua ni huyu Hapa aliyehojiwa na mtangazaji wa ITV Oscar Malivika
Hapa ni enzi zake akipokelewa kama...
Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuwekwa vikwazo dhidi ya Belarus kufuatia tukio la Ndege kulazimishwa kutua ili kumkamata Mwandishi wa Habari mwenye aliye na mrengo wa Upinzani...
Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China.
Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo...
Gavana Ron DeSantis amesaini Muswada wa #Sheria ya 'Stop Social Media Censorship' ambayo inalenga kupunguza au kuondoa uwezo wa Kampuni zinazomiliki Mitandao ya Kijamii kuhariri au kufuta maudhui...
Wanabodi ,kama sio Mali ni Chad, kama sio Chad ni Niger, kama sio Niger ni Gambia, kama sio huko ni Burkina Faso, kama sio Burkina Faso ni Ivory Coast nk
Tatizo ni Nini!? Je, Poor administration...
Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Jumapili iliyopita Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa aliashiria hujuma ya kinyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.