Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ametangaza uteuzi wa Kachero David Barnea kushika wadhifa wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel almaarufu Mossad.
Mteuliwa huyu atachukua...
Baada ya kukwama kwa miezi kadhaa, Viongozi wa Siasa Nchini humo wamefikia makubaliano yanayotengeneza njia ya kufanyika Uchaguzi Mkuu ulio Huru na wa Haki.
Waziri wa Mambo ya Nje, Abdirizak...
Urusi imetishia kupunguza kasi ya Google ikiwa itashindwa kufuta kile ambacho Taifa hilo linaita ni maudhui yanayovunja Sheria huku Mamlaka ikitoa saa 24 kwa video zinazohusiana na Dawa za Kulevya...
Hizbullah: Vita vya "Seif al-Quds" vimeonyesha kuwa, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, vita vya "Seif al-Quds"...
Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi amehudhuria sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika hapa Beijing.
Kwa niaba ya serikali ya China, Bw. Wang ametoa pongezi...
Wale jamaa wako very organized and smart, Wakati hii Vita na Hamas kuwa inaendelea waisrael wote walioko Duniani wakataka kurudi nyumbani kwao ili wasaidie nchi yao coz almost wote ni wanajeshi wa...
Iran yazindua droni yake ya Ghaza na mafanikio yake mapya ya kijeshi.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua mafanikio matatu makubwa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ikiwemo...
Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.
Chanzo ni mimi mwenyewe nipo...
Waziri wa Mambo Nje wa Ufaransa atahadharisha kuhusu sera za Aprtheid za Israel dhidi ya Wapalestina
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu kuendelea kwa muda mrefu...
Chifu Zvimba ameagiza mwili wa marehemu Robert Mugabe kufukuliwa na kuzikwa upya katika Makaburi ya Mashujaa Jijini Harare, hatua ambayo inaweza kuchochea sintofahamu kuhusu eneo la kuzikwa Rais...
Katika mji wa Jerusalem, Kumetokea mauaji ya wa Israel wawili walioshambuliwa kwa kisu na Mpalestina (Kauwawa baada ya kufanya shambulizi)
Katika kipindi hiki aina hii ya mashambulizi huenda...
Waziri Mkuu wa Israel Mheshimiwa Benjamin Netanyau amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Masuala ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken.
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri...
Inadaiwa Wanajeshi wa Mali wasio pendezwa na Serikali mpya na viongozi wa mpito, wamemchukua rais na Waziri mkuu kwa nguvu Jumatatu na kupelekwa kambi ya jeshi iliyopo kilomita chache kutoka Mji...
Baada ya Mpango wa Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas kufanikiwa chini ya upatanishi wa Misri,kuna vurugu mpya Zimeibuka kati ya Polisi wa Israel na Waandamanaji wa Kipalestina.
Hiyo...
Marekani imetangaza vizuizi vya Visa dhidi ya Maafisa wa Ethiopia na Eritrea wanaoshukiwa kwa vita katika Mkoa wa Tigray, ikisema waliohusika hawakuchukua hatua stahiki kumaliza uhasama.
Maelfu...
Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF, zaidi ya Watoto 170 wanahofiwa kupotea na wengine 150 wametenganishwa na Familia zao kufuatia mlipuko wa Volkano.
Wakazi wa maeneo karibu na Mlima Nyiragongo...
The precise number of people affected by DVT/PE is unknown, although as many as 900,000 people could be affected (1 to 2 per 1,000) each year in the United States.
Estimates suggest that...
Israel prepared ground combat troops along the Gaza border on Thursday. The country was in "various stages of preparing ground operations," a military spokesman said.
The move recalls similar...
Jeshi la Polisi nchini Israel limeendelea na kamata kamata ya Wapalestina waishio nchini Israel ambao walishiriki katika maandamano yaliyofanyika Israel kote kuanzia kwenye Msikiti Mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.