Nukuu
PM Netanyahu: " Msaada kwa Hamas na Islamic Jihad unatoka Iran. Ukiondoa Msaada wa Iran wote wataanguka ndani ya wiki mbili. Iran haisaidii tu matendo ya kigaidi bali inashiriki kwenye...
Shukrani kwa juhudi kubwa za Serikali ya Misri.
Serikali ya Israel na Wanamgambo wa Hamas & Islamic Jihad hatimaye wamekubaliana kusitisha mapigano yaliyodumu kwa siku kumi na moja.
Kwa mujibu...
Eleven crew and officers aboard a Nigerian military plane were killed Friday when it crashed in northwestern Kaduna state, according to media reports.
The dead included army chief Lieut. Gen...
Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia
Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji...
Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali.
Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu.
Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia...
Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?
Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea...
The bodies of at least eight people have been recovered from a grave found at the home of a former police officer in El Salvador, officials say.
The graves may hold more bodies, most of them...
Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive"
Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo...
Serikali ya Morocco ambayo hivi sasa imo kwenye mkumbo wa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia ya utawala wa Kizayuni wa Israel, imezuia kufanyika maandamano ya mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo...
Wanawake na Watoto wanapoteza maisha hii haikubaliki. Israel wajitahidi sana kuwa waangalifu. Tunawaunga mkono kujilinda lakini maisha ya Wanawake na Watoto wasio na hatia inatugusa sana.
Hamas...
Tuesday 18 May 2021
Shenzhen, China
Watu waonekana wakitimka mbio toka ndani ya SEG Plaza ghorofa refu huku pia wapita njia karibu na ghorofa hilo wakiondoka kwa haraka toka eneo hilo.
Taarifa...
The Duke of Sussex has said he used to drink a week's worth of alcohol in a day to try to deal with the trauma of his mother's death.
Prince Harry was also willing to take drugs to "feel less...
Mlipuko wa bomu uliotokea Mei 21, 2021 katika mkutano wa hadhara wa Wapalestina Magharibi mwa Pakistani umeua watu 6 na kujeruhi 3 akiwemo kiongozi wa chama cha kidini chenye msimamo mkali.
Bomu...
Utafiti uliochapishwa na The Lancet umeeleza kuwa, Wagonjwa mahututi wa COVID19 wapo hatarini zaidi kupoteza maisha barani Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
Kwa mujibu wa Utafiti huo...
Kumekucha duniani
Baada ya kutumia maroketi kwa muda wa siku tatu mfululizo sasa Hamas wameanza kutumia makombora mazito wameulenga uwanja wa kimataifa wa Israel uitwao Ramon watumia kombora...
Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria.
Huyu Sheikh...
Watu wengi huuchukulia mzozo sa Israeli na Palestine kama wa kidini, lakini kiuhalisia ni mgogoro unaotokana hasa na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa i.e Geopolitics. Kwa dhana ya...
Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36'
Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye...
Supreme Court has canceled universal vaccination
In the United States, the Supreme Court has canceled universal vaccination. Bill Gates, US Chief Infectious Disease Specialist Fauci, and Big...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.