Makamu rais wa Zimbabwe akiwa katika hospitali ya Wilkins kwa ajili ya chanjo ya kupokea chanjo ya Covid 19.
Shirikisha
Zimbabwe imegundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona ambavo...
Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano.
Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na...
Mvutano baina ya Vikosi vya Usalama na Waandamanaji wanaopinga Utawala wa Jeshi umeendelea Nchini humo ambapo Polisi imesema watu kadhaa wamekamatwa.
Vikosi vimetumia mabomu ya machozi kutawanya...
Israel ni taifa teule Spiritual kwa wakristo nikimaanisha mambo mengi ya kiroho alipitisha kupitia wao, wana baraka nyingi na adhabu pia kwa hiyo sio kweli kwamba Mungu anawapendelea Leo naelezea...
Afisa mwandamizi wa Hamas amesema kuwa anatarajia Israeli na wapiganaji wa Kipalestina huko Gaza kufikia usitishaji wa mapigano "ndani ya siku moja au mbili" wakati mashambulio ya mpakani...
Afisa mwandamizi wa Hamas amesema kuwa anatarajia Israeli na wapiganaji wa Kipalestina huko Gaza kufikia usitishaji wa mapigano "ndani ya siku moja au mbili" wakati mashambulio ya mpakani...
Tarehe 19, Mei, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa ngazi ya juu kuhusu “kuhimiza ujenzi mpya wa Afrika baada ya janga la COVID-19 na kuondoa mzizi wa mgogoro”. Waziri wa...
Ni kuwakumbusha tu Israel anapambana na kikundi kidogo sana cha watu wasiojiweza kabisa , si jambo la kushangiria shangilieni pale tu atapojichanganya kwa taifa kama Syria , Lebanon alafu hakuna...
Wimbi la Wazayuni wanaoikimbia Tel Aviv kukwepa makombora ya muqawama lazidi kuwa kubwa
May 19, 2021 03:14 UTC
Vyombo vya habari vimetangaza kuwa, wimbi la Wazayuni wanaokimbia mji mkuu wa...
Yafuatayo ni Matukio ya kila chanzo cha vita baina ya Mataifa haya Mawili.
1987 - Hamas inaundwa mwanzoni mwa ghasia (Intifadha) dhidi ya uvamizi wa Israeli wa Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa...
63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua...
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanini.
Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa...
Shirika la Habari linalomilikiwa na Serikali ya Uturuki, Anadolu Agency (AA) limetoa kibali cha kutumiwa kwa ofisi zake katika mji wa Gaza kwa Mashirika ya Habari ya Al Jazeera na Associated Press...
ISRAELI NI DHIDI YA HAMAS NA SI PALESTINA.
Yafuatayo ni Matukio ya kila chanzo cha vita baina ya Mataifa haya Mawili.
1987 - Hamas inaundwa mwanzoni mwa ghasia (Intifadha) dhidi ya uvamizi wa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema limesikitishwa na taarifa za wakimbizi wanaokimbia mapigano Kaskazini mwa Msumbiji kulazimishwa kurudi nchini kwao baada ya...
Before the state of palestine, there was a country called Israel but the Nazi, Russians, and Allied members killed and pushed jewish out of their land that was located around mt. Zion, later After...
Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini...
Habari wana bodi.
Nchi ya Afrika Kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.
Nchi ya...
Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China...
Mamlaka Nchini Belarus zimevamia Ofisi za Chombo cha Habari cha Tut.by pamoja na makazi ya Mhariri ambapo Tovuti hiyo imetolewa hewani. Maafisa wamesema ni kutokana na Kesi ya ukwepaji mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.