International Forum

News and Stories from rest of the World
Mamlaka zimeonya aina mpya za Virusi vya Corona vimeonekana kuwaathiri zaidi Watoto na kutokana na hilo, masomo ya Shule zote za Msingi na Sekondari yataendelea kutoka nyumbani kuanzia Jumatano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiangalia vita ya israel na hamas miaka iliyopita ni tofauti na mwaka huu. Miaka ya nyuma hamas hamas walikuwa wanarusha mpaka roketi 300 kwa mpigo mmoja na rocket zote zinatungulia bila kuleta...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa propagant za west n kana kwamba rwanda inaendelea sanaaa kuliko sehem nyingine africa! Ingawa uhalisia wake unaonekana wa kawaida sana ukitoa ishu ya jiji safi kigali Je ni kweli kua rwanda...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama...
2 Reactions
4 Replies
991 Views
Usaliti nikitu kibaya sana Khashogh alifikiri kuwa ndani ya list ya mashirika ya mabwana wakubwa kutamponya na kuwa safe popote alipo. Sio kwamba hakujuwa siku moja atakufa kwa kazi mbaya...
10 Reactions
77 Replies
7K Views
India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Close the menuLIVE DEVELOPING STORYIsraeli air strikes kill at least 33 people in Gaza CityDEVELOPING STORYDeadliest single attack since the start of bombingDEVELOPING STORYIsrael air force...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bosi wa Uwanja wa Ndege wa Dubai, Paul Griffiths amesema haoni mbadala wa Hati za Kusafiria ‘Passports’ ambazo zitaambatanisha na chanjo za COVID19 ambao hawatakuwa wamechanjwa hawatasafiri Hatua...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Inakuwaje wanajamvi! Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush. Ndipo hapo...
11 Reactions
70 Replies
6K Views
Zaidi ya wananchi 60%+ wa Seychelles wamepata chanjo ya corona huku maambukizi yakizidi kuongezeka sana zaidi hata ya Tanzania ambako hakuna hata single dose ya chanjo. CNN wanaripoti kuwa vita...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Jina Palestina linatokana na neno la Kilatini Palaestina na neno la Kigiriki Palaeistine. Maneno haya mawili yanatokana na neno la Kiebrania Pelesheth. Biblia inatumia neno Pelesheth linatafsiriwa...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Kufuatia mataifa mbalimbali ulimwenguni kusitisha matumizi yake, Kampuni ya AstraZeneca imesema hakuna ushahidi wa hatari ya kuganda damu kutokana na Chanjo hiyo Imesema takriban watu Milioni 17...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo...
3 Reactions
96 Replies
9K Views
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars' Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa mara nyengine tena Israel imekiri kuzidiwa nguvu na idadi ya vikombora vinavyorushwa na wanamgambo wa makundi tofauti kutoka Gaza. Taarifa hizo zimekuja katikati ya muendelezo wa machafuko...
6 Reactions
309 Replies
23K Views
Mimi huwa ni mhanga wa swali hili,Wayahudi wamezungukwa pande zote na jamii ya kiarabu,lakini huwa nashangaa namna wanavyo wananyanyasa warabu wenzao (Wapalestina)lakini nchi za kiarabu kimya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wapenda amani wote wa ulimwengu huu! Umewahi kujiuliza why Israel infanya jinai with impunity? Yaani hawaogopi lawama wala hawana aibu yeyote ya kibinadamu katika kufanya jinai zao? Unatumia...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Saa 3 zilizopita Jengo la ghorofa huko Gaza ambalo limeripotiwa kuwa na ofisi ya Hamas limeanguka katika shambulizi la angani lililofanywa na Israeli. Katika kulipiza kisasi wanamgambo huko Gaza...
5 Reactions
207 Replies
15K Views
Adui wa Waafrica ni Waafrica wenyewe, fikiria Wazungu walikombolewa wao na mbwa wao kabla ya watu weusi, yaani Mbwa wa Kizungu alikuwa na umuhimu mkubwa kuliko Waafrica, na mbaya walio fanya haya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais mstaafu wa marekani ndugu Barack Obama, amefiwa na mbwa wake bo. Akitoa tangazo hilo leo moja kwa mona kupitia cnn. Obama ameonesha pamoja na familia hiyo kusikitishwa na kifo cha mbwa huyo...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom