Israeli imefanya mashambulizi kadhaa alfajiri ya leo katika Ukanda wa Gaza, baada ya wanamgambo wa Palestina kurusha makombora ya roketi katika miji iliyopo kusini mwa Israeli.
Mashambulizi ya...
Nchini Canada katika jiji la Montreal waungaji mkono wa Palestina na wale walio dhidi yao wanaounga mkono Israel wamepigana wakati wa maandamano na kupelekea waziri mkuu wa nchi hiyo kutoa tamko...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa.
Mkuu wa Shirika hilo, Dkt...
Chama kikuu cha wauguzi nchini Marekani kimeshutumu tangazo la karibuni la Vituo vya kudhibiti magonjwa kwamba watu waliopatiwa dozi kamili ya chanjo za Covid hawana haja ya kuvaa barakoa katika...
Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana...
Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi...
Israel inatumia gesi ya sumu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza
May 16, 2021 04:31 UTC
Msemaji wa wizara ya afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa...
Mpaka tunaingia mitamboni miji hii kinawaka sasa
1. Paris
2. London
3. Berlin
Jana ilikua New York na pia Lebanon kunawaka moto kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga uonevu wa Israel kwa...
Maambukizi Nchini India yamefikia Milioni 25, ikiwa ni Taifa la pili ulimwenguni kufikia idadi hiyo baada ya Marekani. Visa vipya 263,533 vimerekodiwa katika saa 24 zilizopita na kupelekea jumla...
Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao.
Pale Israel napopanga shambulizi huwa...
Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39.
Israel imeendelea kutumia makombora...
KWA wale wataalamu wa siasa za kimataifa tunaomba kujuzwa kwa lugha nyepesi kiini cha mgogo wa GAZA baina ya Israel and Palestine uliozuka tena juzi na kupelekea zaidi wapalestina 174 kuuwawa...
Kila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana, Waarabu wako kimya kama hawaoni. Afu Waafrika na unafiki wa kulaani kwenye media, inasaidia nini sasa?
Hakuna mzozo utakaotikea...
Palestine issue is a none event as compared to the brutality being faced by people of colour throughout this continent,
21palestines killed recently cant be compared to hundreds of blacks dying in...
kesi ya Jacob Zuma hiyo
South Africa's ex-president says he is ready for graft trial
JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on...
Habar wadau mimi toka juzi Baada ya Vyombo vya Habari Kuanza kuripot vita Baina na Izrael na Palestinian sijaona kabisa sehem hata Moja chombo chochote Kiki ripot kua Izrael imeshambulia...
Breaking: Palestian Foreign Minister issues address over escalation of violence in middle east Gaza
An attack on Al Aqsa mosque is atack on Arabs & Muslims
We need the International Court to...
Zimbabwe's justice minister has accused the judiciary of overreach and said it had been "captured" by "foreign forces" in order to destabilise the county.
It came after the high court ruled that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.