International Forum

News and Stories from rest of the World
Joto kali limeua watu 700 magharibi mwa Canada Karibu watu 719 wanakadiriwa kupoteza maisha kufuatia joto kali la kuvunja rekodi ambalo linaendelea kushuhudiwa magharibi mwa Canada katika msimu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jeff Bezos (57) ameachia rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni maarufu ya Amazon iliyomfanya kuwa Bilionea, na nafasi hiyo itachukuliwa na Andy Jassy. Bezos ataendelea kuwepo katika Kampuni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Supreme Court wamefuta makosa ya Cosby ,makosa yake ya likuwa political motivated .Me too movement .God is good === Media captionWatch: The moment Bill Cosby leaves prison US comedian Bill Cosby...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Rais Tshisekedi wa DRC amekataa kudungwa chanjo ya Uingereza ya AstraZeneca Rais Tshisekedi wa DRC amekataa kudungwa chanjo ya Uingereza ya AstraZeneca Utata umeibuka katika Jamhuri ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Meli ya mizigo ya Israel yashambuliwa katika Bahari ya Hindi Jul 04, 2021 07:14 UTC [https://media] Moto umezuka katika meli ya mizogo ya Israel baada ya kushambuliwa kwa 'silaha isiyojulikana'...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Julai 5, na maafisa. Idadi ya waliokufa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki. Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?
9 Reactions
146 Replies
22K Views
Ndege ya Qator na KLM zilizobeba chanjo,zilipofika tu!wa katumia Helicopters kusambza kwenye hospitali za mikoa.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali ya Singapore imetangaza kuwa itaacha kutoa takwimu za visa vya #COVID19 na kwamba muda umefika wa kuishi na ugonjwa huo kama mafua. Aidha, Serikali hiyo imesema itafuatilia wagonjwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi imesema Watu walio na silaha wamevamia Hospitali Kaskazini Magharibi mwa Nigeria na kuwachukua mateka angalau watu nane. Ripoti kadhaa zimedai idadi inaweza kuwa kubwa zaidi na miongoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema hana haja tena ya kwenda jela baada ya Mahakama ya Kikatiba iliyotoa hukuku ya kifungo cha miezi 15 jela kukubali kusikiliza rufaa yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ongezeko la visa vya COVID19 limesababisha uhaba wa Oxygen katika Miji kadhaa Nchini humo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru wazalishaji kutanguliza mahitaji ya kimatibabu. Hivi sasa, Taifa hilo...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni siku moja bahari ikizidi kuungua maana gesi ilipasuka imesababisha hali mbaya kwa viumbe huko mexico yucatan peninsula. Bado serekali ijaeleza sababu ni hipi! Bado watalaamu wanazidi...
2 Reactions
5 Replies
892 Views
Viongozi wakuu wa China na Urusi waongeza ushirikiano wa kirafiki na ujirani mwema Viongozi wakuu wa China na Urusi wamekubaliana kurefusha rasimu ya makubaliano ya ujirani mwema na ushirikiano...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 400,000 huko Tigray Nchini Ethiopia wanakabiliwa na uhaba wa chakula, wengine Milioni 1.8 wanaelekea kupata shida hiyo na Watoto 33,000 wakiwa na Utapiamlo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo. Makundi ambayo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
30 June 2021 Weslaco, Texas USA Donald Trump rais wa zamani wa Marekani atembelea border / mpaka huko Weslaco jimbo la Texas na kupewa taarifa ya ongezeko la makosa yanayovuka mpaka (cross border...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananchi wa Burundi hii leo wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 58 toka taifa hilo lilipojipatia uhuru wake toka kwa wakoloni wa Ubelgiji Julai 1, 1962, wakati huu taifa hilo lina rais mpya Evariste...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom