International Forum

News and Stories from rest of the World
Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kiongozi wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini bwana Julius Malema amezuiwa kwa muda kuandika katika akaunti yake ya Tweeter kwa kukiuka miongozo ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya leo umependekeza marufuku ya uuzaji wa magari yanayotumia petroli na dizeli itakapofikia mwaka 2035. Pendekezo hili ni sehemu ya pendekezo kubwa la kimazingira litakaloharakisha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka mweupe kuhusu uhakikishaji wa haki na usawa wa makabila mbalimbali mkoani Xinjiang. Waraka huo umesema, mkoa huo unashikilia kanuni za...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Kwa Trump kuwahimiza wafuasi wake wavamie Congress ili isimpitishe Biden kuwa Rais, je Trump anaweza kushitakiwa kwa uhaini? Wanasheria tupeni maoni yenu kwa hili.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa: Rais wa Rwanda Awasili Nchini Angola Kwa Kikao Muhimu Kujadili Hali Ya Usalama CAR. Rais Paulo Kagame wa Rwanda amewasili Jijini Luanda Angola na muda huu anafanya mazungumzo muhimu na...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Israel leo Mei 30,2021 amefanya mazungumzo nyeti na Kachero Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Misri Abass Kamel aliyeongozana na Makachero Waandamizi wa Idara hiyo. Mazungumzo hayo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Prince Philip, 99, was admitted to King Edward VII's hospital in Marylebone on 16 February after feeling unwell. He later underwent a successful procedure for a pre-existing heart condition at...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mamilioni ya Wanigeria ambao wakati mmoja walikuwa katika msimamo thabiti wa kifedha katika taifa lenye watu wengi zaidi barani Afrika na uchumi mkubwa sasa wanahangaika kujilisha wenyewe na...
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Rouhani: Iran imefanikiwa kwa kasi kurutubisha Uraniam kwa kiwango cha 90% Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria historia ya kuidhinishwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA na...
1 Reactions
2 Replies
496 Views
Mamlaka ya Utangazaji imeshauri Runinga na Redio kutotumia Mtandao wa Kijamii wa #Twitter kama chanzo cha taarifa zao, huku ikiwataka wafunge akaunti zao Mamlaka hiyo imesema haitokuwa uzalendo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Masikitiko kwa wahandishi wa habari. Mwanahabari ambaye ujishughulisha na habari za uhalifu huko Uholanzi kwa jina Peter R. de Vries amekufa baada ya kupigwa risasi huko Amsterdam. Alijulikana...
3 Reactions
3 Replies
827 Views
Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amewapongeza wanamapambano wa Palestina wanaojihami kwa silaha mbele ya...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama. Kwa siku zipatazo tano...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi! Kama mnavyojua yanayoendelea Angola sasa hivi ni kuandamwa kwa binti yake Rais mstaafu wa Angola Isabel Dos Santos pamoja na familia ya rais Dos Santos kwa ujumla kwa ufisadi...
15 Reactions
33 Replies
5K Views
Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari Wana JF natumaini mpo njema, Husika na kichwa hapo juu, Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
My Fellow South Africans, I address you this evening with a heavy heart. Over the past few days and nights, there have been acts of public violence of a kind rarely seen in the history of our...
2 Reactions
6 Replies
875 Views
Back
Top Bottom