Indeed, the China Railway Science and Industry Group Corp (CRSIGC) is the organisation that is responsible for this most recent development. It is a skytrain with a capacity of about 400...
Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19.
CDC wamesema kama kutakuwa na...
Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion)...
Wagonjwa wa COVID19 wamezidi kuongezeka huku wengi wakiishia kutibiwa majumbani kutokana na hospitali kukosa wafanyakazi na vifaa tiba.
Wananchi wameonekana kwa misururu ya foleni wakiwa...
Jerusalem Post Health & Science
Coronavirus in Israel: What do we know about the 143 hospitalized people?
By MAAYAN JAFFE-HOFFMAN JULY 21, 2021 18:07
Of the 143 hospitalized patients, 58%...
Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limesema Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anaongoza orodha ya viongozi 14 wa sasa na wa zamani waliolengwa katika udukuzi uliofanywa na...
Serikali ya Norway imeituhumu China kwa kuhusika na mashambulio ya kimtandao katika mifumo ya Bunge lake mnamo mwezi machi 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Ine Eriksen Soereide amesema...
So you thought Bitcoin is the best investment because it is alleged nobody controls it. Well it almost became worthless recently due to a bug that has now been patched. Who knows what will happen...
Hii ni habari iliyochapwa kwenye website ya The Guardian, ikionyesha taarifa za watu mbalimbali zikiuzwa kwa serikali za kidikteta ili washughulikiwe.
===≠=====
Human rights activists...
Wanaume wawili wamejaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali Assimi Goïta katika msikiti uliopo katika mji mkuu, Bamako.
KanaliGoïta allikuwa akihudhuria ibada ya siku ya Eid ul-Adha katika...
Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria.
Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika...
Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa...
Wakati aina mpya ya kirusi cha Corona- Delta kikiripotiwa nchini Rwanda, serikali ya nchi hiyo imeanza mkakati wa kuwapima wakaazi kuanzia vijijini hadi mjini. Sambamba na hilo pia serikali ya...
Marekani imetunga Sera Mpya ya Habari ambayo haitalazimisha wanahabari kutaja vyanzo vyao vya habari vya siri
Taarifa kuhusu sera hiyo imesema Uhuru wa Vyombo vya Habari ni muhimu katika kukuza...
Hatua mpya ya Russia ya kuachana na utegemezi wa sarafu ya dola
Wizara ya Fedha ya Russia imetangaza kuwa, imeondoa kikamilifu sarafu ya dola kwenye Mfuko wa Hazina ya Taifa wa nchi hiyo uliokuwa...
Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi.
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa...
Mamlaka zimelalamikiwa kuitumia vibaya ‘malware’ ya Israel ya Pegasus ambayo imetumika kufuatilia waandishi wa Habari na wanaharakati
Software hiyo inatengenezwa na kampuni ya ulinzi ya Israel ya...
Created on Thursday, 24 December 2015 21:34Written by ELWIN MANDOWA MARAVIPOSTWestern media to the annoyance of Malawians begin each reference to Malawi as one of the poorest nations on earth. A...
Kaburi jingine la umati la Wahindi Wekundu lagunduliwa Canada, ni karibu na shule ya Wamishonari wa Ulaya
Vyombo vya habari vimetangaza habari ya kugunduliwa kaburi jingine la umati lenye maiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.