International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jobs in healthcare and information technology dominate the list. Top 10 Most In-Demand Jobs in the United States 1. Home Health Aide A home health aide helps people with chronic illness...
2 Reactions
2 Replies
939 Views
Tarehe 20 Julai, 2021, takribani roketi tatu zilitua karibu na ikulu ya rais wa Afghanistan huko Kabul wakati Rais Ashraf Ghani alipokuwa akisali sala ya Eid al-Adha. Ingawa hakukuwa na majeruhi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Janga la COVID-19 linaweza kumalizika katika kipindi cha miezi michache ijayo nchini Uingereza, chanjo ikiwa imepunguza sana hatari ya kusababisha kifo au kudhoofika kupita kiasi kutoka na virusi...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanamgambo wa Boko Haram wamewaua wanajeshi watano wa Cameroon na raia mmoja kwenye shambulizi kaskazini mwa nchi, wizara ya ulinzi ya Cameroon imesema Jumanne. Shambulizi hilo lilifanyika...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya Tencent ambayo ni wamiliki wa app ya WeChat ambayo inatumiwa zaidi na wachina, wamesitisha usajili wa watumiaji wapya wa mtandao huo. Wamefikia hatua hiyo ili waweze kuboresha mifumo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu...
4 Reactions
95 Replies
8K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kampeni ya utoaji wa chanjo ya Corona katika mji wa Vatican iliyoanza siku ya Jumatano inaendelea na miongoni mwa waliopatiwa chanjo hiyo ni Papa Francis na Papa Emeritus Benedict XVI ambapo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo Jumatatu inasema wanawake na watoto zaidi waliuawa na kujeruhiwa nchini Afghanistan katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021. Hii ni idadi kubwa kuliko miezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mganga wa jadi kutoka nchini Ghana anayefahamika kwa jina la Nana Kwaku Bonsam amedai yeye ndiye anayehusika na kifo cha Nabii maarufu T. B Joshua baada ya mganga huyo kumtuhumu T. B. Joshua...
8 Reactions
69 Replies
9K Views
Tunisian president Kais Saied has suspended parliament and dismissed prime minister Hichem Mechichi after a day of protests against the ruling party brought the country’s political crisis to a...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wabunge katika taifa hilo la Afrika Magharibi walipiga kura kwa kauli moja siku ya Ijumaa kupiga marufuku adhabu ya kifo na kuibadilisha na kifungo cha maisha au kifungo cha chini cha miaka 30 kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Tunisia Kais Saied ameweka amri ya kutotoka nje majira ya usiku kwa kipindi cha mwezi ujao, siku moja baada ya kulisimamisha bunge. Pia amewafuta kazi mawaziri zaidi wa serikali baada ya...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
The 21-year-old, who idolises Cristiano Ronaldo, has already written her name into the record books at Tokyo 2020 Barbra Banda has played two matches at an Olympic Games – and she is already in...
1 Reactions
7 Replies
909 Views
THE CORONAVIRUS CRISIS The Delta Variant Will Drive A Steep Rise In U.S. COVID Deaths, A New Model Shows July 22, 20216:24 PM ET g in consultation with the Centers for Disease Control and...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Hatimaye China imeingia mkataba wa kusupply chanjo ya corona kwa mpango wa covax. Kampuni za utengenezaji chanjo za china hatimaye zimeula! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! ====== Chinese...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19. Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina...
14 Reactions
160 Replies
12K Views
Back
Top Bottom