At least two firefighters said injured in fire at chemical plant near Qom, south of Tehran
A massive blaze hit an industrial complex near Iran's holy city of Qom, south of Tehran, the country's...
The Seychelles, which has fully vaccinated over 60% of its population against Covid-19, is bringing back restrictions amid a rise in cases.
The archipelago of nearly 100,000 people recorded close...
Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika...
Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni.
Mtu mwenye silaha alimfyatulia risasi Sheikh Ali Amini wakati wa suala ya...
Mzee Joe Ligon alikamatwa mwaka 1953 na kufungwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kupata msamaha.
Bwana Joe alikamatwa huko Pennsylvania kwa kukosa la mauaji ambalo mwenzake alifanya mauaji...
Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali ambayo sio ya kawaida.
Halima Cisse, 25, alijifungua watoto wa kike watano na wavulana wanne katika hospitali ya Morocco siku ya...
Supastaa wa zamani wa Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o amewatolea uvivu maprofesa nchini Ufaransa kufuatia matamshi yao yasiyofaa juu ya Afrika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta...
Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu.
Uamuzi huo...
Canada imeidhinisha matumizi cha Chanjo ya Pfizer katika kupambana na Virusi vya Corona kwa Watoto wenye umri kati ya miaka 12 na 15. Inakuwa Nchi ya kwanza kutoa idhini kwa walio na umri huo...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameanzisha tovuti yake ya mawasiliano kwa lengo la kuchapisha taarifa “moja kwa moja kutoka mezani kwake.”
Trump, ambaye alifungiwa katika mitandao ya...
Hebu tujikumbushe kidogo historia
Shujaa wetu wa ukombozi wa Bara hili la Afrika ndiye aliyefungwa miaka mingi jela kuliko mwafrika mwingine yeyote kwa sababu za kisiasa
Mnamo mwaka 1964...
Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini India
WHO imesema India imerekodi 46% ya maambukizi...
Waziri wa afya wa Venezuela Carlos Alvarado amesema nchi yake itaanza majaribio ya hatua za mwisho ya mojawapo ya chanjo za corona zilizotengenezwa na mshirika wake Cuba na ambayo imeonesha...
Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo...
Familia ya kifalme ya Zulu nchini Afrika Kusini imemteua mke wa tatu wa Mfalme Goodwill Zwelithini kushikilia nafasi yake hadi pale mfalme mpya atakapotawazwa.
Malkia Mantfombi MaDlamini Zulu...
Ukilinganisha na mataifa ya Magharibi, China na Ulaya ambazo zinapigana vikumbo kwenye bara hili? Kuna mwenye ufahamu atudadavulie wanajukwaa.
N'yadikwa
Wanamgambo wanaosadikika wa kundi la Jihad wamevamia kijiji mashariki mwa Burkinafaso na kuua wanakijiji wanaokadiriwa 30.
‘Kundi kubwa la watu wenye silaha lilivamia kijiji cha Kodyel jimbo la...
Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa.
Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii.
katika Chuo Kikuu cha Kenyatta...
Hospitali zinaendelea kuomba misaada ya dharura ya Oxygen huku Mamlaka za Mji Mkuu wa Delhi zikitoa rai kwa Jeshi kuwasaidia kukabiliana na mlipuko. Taifa hilo lina maambukizi zaidi ya Milioni 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.