International Forum

News and Stories from rest of the World
A senior member of staff at the Swiss embassy in Tehran has died after falling from the high-rise building where she lived, Iranian media report. An emergency services spokesman told Mehr news...
0 Reactions
5 Replies
605 Views
Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya sehemu ya barabara ya juu kuporomoka na kupelekea treni ya abiria kuanguka katika barabara ya chini iliyokuwa na watu wengi wakati wa jioni siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
INTERNATIONALCHINA Is China’s population growing or shrinking? It’s a touchy topic for Beijing BY GRADY MCGREGOR April 30, 2021 7:09 AM EDT Our mission to make business better is fueled by...
2 Reactions
6 Replies
777 Views
Nazanin Zaghari-Ratcliffe: UK to pay Tehran £400m to free British-Iranian national, state TV reports (msn.com) The UK will pay £400m to Tehran to free Iranian-British woman Nazanin...
0 Reactions
8 Replies
922 Views
Meli ya kubeba ndege ya China yapitia mpaka wa Japan Meli ya kubeba ndege ya Wachina ya Liaoning ilipita kati ya mkoa wa kusini mwa Japan wa Okinawa na kisiwa cha Miyakojima. Meli ya kubeba...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
A Puerto Rican boxer who fought in London's 2012 Olympics has been charged with abducting and killing his pregnant lover. Félix Verdejo is accused of attacking Keishla Rodríguez and then throwing...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
Habari Wana jamiforums poleni na Corona Leo UFARANSA imetangaza kua Mabaaria wake 94O walio kua kwenye meli ya kubebea ndege za kivita wamekutwa na Corona kitu ambacho kina wafanya mpaka Sasa...
7 Reactions
75 Replies
8K Views
Umoja wa nchi za Afrika AU imesitisha mpango wa uagizaji wa dawa ya chanjo Astra Zeneca ambao ni kinga ya ugonjwa wa homa ya mafua wa COVID -19. Mpango huo wa AU ilikuwa ni kwa kiwanda cha Serum...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Utawala wa Kijeshi Nchini Chad umetangaza Serikali moya ya Mpito ambapo idadi kubwa ya Mawaziri walikuwa madarakani katika utawala wa Rais Idriss Deby aliyefariki dunia mwezi Aprili. Wapinzani...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Iván Duque ameondoa Muswada tata wa mageuzi ya Kodi kufuatia maandamano makubwa yaliyodumu Nchini humo kwa siku nne Awali alisisitiza ongezeko la Kodi lilihitajika ili kukabiliana na mdororo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imarati yaunga mkono msimamo mpya wa Saudia kuhusu Iran. Mrithi wa kiti cha ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ameelezea kufurahishwa kwake na msimamo mpya wa Mohammad bin Salman...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari! Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Shehena ya kwanza ya msaada wa Taiwan kwa India kusaidia nchi hiyo kukabilina na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona imeondoka leo kwenda mjini New Delhi ikiwa na mashine 150 za kupumua na...
0 Reactions
4 Replies
612 Views
Hasira zaenea baada ya polisi Marekani kumuua mwanamichezo wa Afrika Kusini. Kifo cha mchezaji wa mpira wa rugby wa Afrika Kusini, Lindani Myeni akiwa mikononi mwa polisi huko Honolulu, Marekani...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
WHO yaidhinisha chanjo ya Moderna kwa matumizi ya dharura Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, limeidhinisha kwa matumizi ya dharura chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna. Chanjo hiyo ya mRNA ya...
2 Reactions
1 Replies
651 Views
Hongereni Wakenya [emoji2960] Chanzo: Good News from Southeast Asia | Seasia.co
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wabunge Nchini humo wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi uliopita baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa. Mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Kubadilika kikamilifu misimamo ya Saudia kuhusiana na Iran; sababu zake na jinsi kulivyopokelewa. Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, amebadilisha kikamilifu na waziwazi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom